Recent content by hamjunior

  1. hamjunior

    JamiiForums Tanzania Simu yangu haisomi baadhi ya line

    Inasoma tigo halotel na voda tuuu
  2. hamjunior

    JamiiForums Tanzania Simu yangu haisomi baadhi ya line

    Hapana nimenunua Mlimani city
  3. hamjunior

    JamiiForums Tanzania Simu yangu haisomi baadhi ya line

    Nina samsung galax A13 haisomi lain ya TTCL na airtel msaada kwa mwenye ujuzi na hili
  4. hamjunior

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Jina la hii website tafadhali mkuu
  5. hamjunior

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza download series na movie kwa ubora wa kawaida na zenye MB chache?

    Msaada jaman wapi naweza download series na movie kwa ubora wa kawaida na zenye mb chache ukiachana na netnaija na teregram
  6. hamjunior

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

    Samsung a 11 Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
  7. hamjunior

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

    Hiyo ndio haitak kabisa huwa inanipa ujumbe kuwa app ninayo taka kuinstall haiko salama kwahy kma nataka kuitumia ivo ivo inakuwa haiko na ubora
  8. hamjunior

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

    Ngoja nijaribu tena
  9. hamjunior

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

    Nimejaribu hiyo zaid ya mara moja inagoma
  10. hamjunior

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

    WAJUZI...naomba msaada wa kupakuwa video kutoka youtube nimeshindwa kabisa kupakuwa video nilikuwa na tumia videorder now inagoma kabisa kufanya kazi kwenye simu yangu natumia samsung a11 kila nikijaribu kuweka apk za kupakuwa video samsung securty inagoma kuinstall app msaada tafadhali kama...
  11. hamjunior

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wataalamu wa Game za simu janja naomba kujuzwa hili...

    Hata hiyo naipataje
Back
Top Bottom