Recent content by hamix manko

  1. hamix manko

    JamiiForums Tanzania NACTE wataanza lini tena kupokea maombi?

    Wiki ijayo zaga linatema be patient
  2. hamix manko

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wote waliochaguliwa COTC Mtwara

    unataka ya course gani kijana
  3. hamix manko

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wote waliochaguliwa COTC Mtwara

    Tayari mkuu nimeshatuma
  4. hamix manko

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wote waliochaguliwa COTC Mtwara

    Heshima kwenu!! Naomba kama wewe ni mmoja kati ya waliochaguliwa Chuo cha COTC mtwara kozi yeyote ile tafadhari ni inbox namba yako tuweze kupeana details! Na pia kama kuna mtu anakifahamu aweze tujuza kidogo!!
  5. hamix manko

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimeandikiwa hivi inamaanisha nini wadau?

    Ulituma lini asee???
  6. hamix manko

    JamiiForums Tanzania NACTE 05/10/2016 ,12:00PM ni jipu matapeli

    Labda saa sita usiku...
  7. hamix manko

    JamiiForums Tanzania NACTE yatoa majina ya waliopata nafasi ya kujiunga na vyuo ngazi ya cheti na stashahada 2016/2017

    Kindly note that the system is closed to allow finalizing third round selection process. You are requested to be patient up to 5th October 2016 12:00PM. This applies only for Certificate and Diploma applicants, Sorry for any inconvenience caused. To view list of Institutions/ Programme with...
  8. hamix manko

    JamiiForums Tanzania NACTE yatoa majina ya waliopata nafasi ya kujiunga na vyuo ngazi ya cheti na stashahada 2016/2017

    Huwa ni wahuni ohoooo! wewe naona umewasahau kwanza wanasema watu watume mara ya 4 vyuo vinafunguliwa lini??!!
  9. hamix manko

    JamiiForums Tanzania NACTE yatoa majina ya waliopata nafasi ya kujiunga na vyuo ngazi ya cheti na stashahada 2016/2017

    Ila nacte naisi mnawajua msiwaamini kwa 100% inaweza kufika kesho wakakaa kimya alafu wakaja badae kuomba radhi..... Upuuzi mtuupuuuu!!
  10. hamix manko

    JamiiForums Tanzania NACTE yatoa majina ya waliopata nafasi ya kujiunga na vyuo ngazi ya cheti na stashahada 2016/2017

    TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UTEUZI WA AWAMU YA TATU, UHAMISHO NA KUONGEZWA KWA MUDA WA KUFANYA MAOMBI KATIKA KOZI ZA ASTASHAHADA (CHETI) NA STASHAHADA (DIPLOMA) KWA MWAKA WA MASOMO 2016/2017 - NACTE
  11. hamix manko

    JamiiForums Tanzania NACTE system closed mpaka lini

    Ebu tuwasubiri labda wana finalize kweli japo siwaamini!!
  12. hamix manko

    JamiiForums Tanzania NACTE acheni uzembe

    Haya
Back
Top Bottom