Nilikua sijui kumbe wanatuma message kabisa
Mimi nilipeleka fomu Tarehe 06 ambapo nikapigwa picha na fingerprint then wakaandika kwenye kimemo natakiwa kurudi Tarehe 06 mwezi wa 9 kumbe Kwa DSM apa wiki 2 tu ishatoka? Basi itabidi nikafuatilie kuanzia wiki zijazo huko
Huna Akili... kwamba huelewi kinachoendelea DRC? Mechi gani kwa kipindi hiki umeona zikichezwa saa 1 za usiku? wanafanya hivyo kwa usalama zaidi sio kwamba wanajipangia tu
Klabu ya soka ya Yanga hii leo imetangaza rasmi kuwa siku ya mchezo wa Yanga dhidi ya Medeama itakua siku maalum kwa tajiri wa klabu hiyo GSM.
Kwakua ni siku ya GSM hivyo basi tiketi zote za mzunguko zimenunuliwa hivyo Wananchi (Yanga) wataingia bure na kiingilio chako kikiwa ni jezi yako ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.