Issue ni Hoja Ndugu zangu wa CCM sio tu tunapamba nae … Hayati Magufuli alimaliza kelele za Chadema kwa utekelezaji pamoja na mspungufu yake ambayo kila mtu anayajua. USHABIKI NDO UMEHARIBU UCHAGUZI DODOMA …. CCM ina watu madhubuti lakini mnachagua 😞
Katika kipindi cha mwaka 2020-2024, miradi na matukio kadhaa ya ufisadi imejulikana nchini Tanzania, ingawa baadhi ya matukio haya hayajaangaziwa sana kwa umma. Hapa chini ni mifano ya baadhi ya miradi na tuhuma za ufisadi:
1. Mradi wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) – Ujenzi wa reli ya...
Ufisadi upo tena upo kweli kweli… Ndo yake tunasema mahaba na Chama ndo yanatupotosha … Mi Bus 🚎 30 na Mi posho ya ajabu…. Taarifa ya habari hapa tunaangalia Makada wanatoa ufafanuzi kila siku kisa nini … Naangalia Hapa Vijana vs Wazee wote wamepindisha maneno … Yani sisi tunakosea wapi “Ya...
Wewe msomi unafahama #Dutch disease or #Resource Course … Kama wapenda kusoma nakusihi soma ..
Hali ya Burkina Faso, ambapo Kapteni Ibrahim Traoré alichukua uongozi mwaka 2022 kupitia mapinduzi, inaweza kutazamwa kwa mtazamo wa “Laana ya Rasilimali” na changamoto zinazokumba nchi zenye utajiri...
Wewe wewe weee unamjua TRAOLE Burkina faso 🇧🇫 president .. In a landmark decision reshaping Burkina Faso’s economic landscape, President Ibrahim Traoré announced the clearance of the country’s $4.7 billion external debt while simultaneously taking control of its lucrative gold mining industry...
Tukiacha Mahaba, Jinsia na unafiki tutafika mbali… Mwenyekiti yupo vizuri lakini kuna wengine wapo vizuri zaidi yake na wote wanajenga nyumba moja kwa nini usimpishe mwenzako tu. Mungu atusaidia kuona mbali na kuiangalia serikali kwa jicho la kusaidia wananchi masikini kama alivokua anasema Mh...
Tuna deni la taifa DIGIT TATU SASA HIVI EHEEE yani ilitoka 60+ Mzee wetu Mungu ampumzishe na sasa lipo 100+… sasa hio mipesa ilitakiwa ifanye mara tatu zaidi
Acha mihemko Juzi ujanja ujanja ya kuja na jina na kufanya interpretation ya Katiba ya Chama Cha Mapinduzi na kupendekezwa Yeye pekee unahisi huo ni uwezo… everyone knows that was crooked n planned circus 🎪 🤡….. TUNATAMANI TURUDI MWEZI WA TANO NA RESOLUTION YA WATU WENGINE…. Embu fikiria...
Tafsiri ya Hali Ambayo Mkutano Mkuu wa CCM Unachagua Mgombea Mmoja Pekee Kwa Nafasi ya Urais Kupitia Azimio la Kikao
Hali hii inaleta changamoto za kisheria na kikatiba ndani ya Katiba ya CCM na kanuni pana za ushiriki wa kidemokrasia. Pia, inapochanganuliwa kwa muktadha wa Katiba ya Jamhuri ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.