Katika nchi za wenzetu jengo kama hilo linaanguka kwa tetemeko la ardhi cha ajabu leo linaanguka hata kwa hewa ya fane ni aibu sana lazima tuamini kuwa uchakachuaji ulifanyika. siamini kabisa wizara husika inatakiwa itueleze kwanini liangangeke.
Mimi sina chama ila ukweli usemwe kama nyinyi wabunge mnaotuhumiwa kwa utovu wa nidhamu kama kweli hamjavunja kanuni na taratibu za bunge basi ni wakati wenu kufungua vinywa vyenu kuitangazia umma maana bila hivyo mtajidhulumu haki wenyewe.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.