Recent content by hames amos

  1. H

    Mada maalumu: Fani za afya kwa level ya diploma

    Apo kwenye pharmacy VP mkuu mbona guide book ya nacte hawaja consider physics na mm nimesha apply VP sita pata au nieleweshe na je kama nikisoma certificate ya pharmacy na sjafaulu physics je ntaweza kusoma na diploma pia::Nina C bios&chem,C English na D math na mengine yote C ila physics ndio...
  2. H

    Course ya biashara

    Physics inaangaliwa kwa MTU anayetaja pharmacy kama inaangaliwa nitafute kingne Sent using Jamii Forums mobile app
  3. H

    Course ya biashara

    Wadau kwan physics inaangaliwa ukitaka kusoma pharmacy Sent using Jamii Forums mobile app
  4. H

    Course ya biashara

    Dah sawa bna Sent using Jamii Forums mobile app
  5. H

    Course ya biashara

    Natamani kuwa mfanyabiashara nakusomea ila paka saiv sijui Nita apply nisome course gan chuo maana nimehitimu kidato cha NNE 2018 Nina dv3 ya22 Nina credit masomo yote but pass ya math na physics F naombeni ushauri kuhusu course nzur itakayo nipa Uhuru wakua mfanyabiashara au kudeal na mambo ya...
  6. H

    Nipe mwongozo kuhusu kozi ya pharmacy

    Nina uafaulu was division 3 yakwanza Nina C ya bios C ya chem D ya math arts zote C ila iyo physics sasa duh n amna kitu Sent using Jamii Forums mobile app
  7. H

    Nipe mwongozo kuhusu kozi ya pharmacy

    Nasoma zote Sent using Jamii Forums mobile app
  8. H

    Nipe mwongozo kuhusu kozi ya pharmacy

    Naomba kujua zaidi kuhusu course ya pharmacy wadau nataka nikasome nimemaliza kidato cha nne Sent using Jamii Forums mobile app
  9. H

    Mada maalumu: Fani za afya kwa level ya diploma

    Naomba kuuliza ukitaka kusoma coz ya pharmacy n lazma uwe na D ya physics au kwa mm nilie hitm 4m4 Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom