3D ilionekana namba isio rasmi tukaambiwa camera hazisomani na plate namba lakini leo hii kuelekea uchaguzi zimezagaa gari zenye namba za SSH, je hizi camera zinasomaje?
Na pia huwezi kukuta zimesimamishwa na trafic, je haziwezi kutumiwa na watu waovu kufanya mambo yasio faa kwa plate za SSH??
Anayeweza kunisaidia kufafanua bot inayosafirishwa kupita mikoa zaidi ya 4 kwa siku 30 kwanini lisingesafiri kwa maji kutoka Mtwara mpaka Mombasa Kenya kisha, wasafirishe mpaka bandari ya Kisumu kisha iingie kwenye maji yenyewe mpaka Mwanza?
Wataalam walitumia tathimini gani kuona njia...
Eneo linauzwa Tsh 4M maongezi yapo simu 0712813493, eneo lipo wilaya ya ilala, kata ya MSONGOLA mtaa MBONDOLE lipo karibu na barabara pia shule ya sekondari Mbondole, Miundombinu yote muhimu ipo ukubwa Ft 66, urefu upana 50 kwa 44
Habari, ikitokea mbunge amejivua wadhifa wake kabla muhula wake kuisha na kabla bunge halijavunjwa,
Je mbunge huyo atanufaika na kinua mgongo cha ubunge au malupulupu yoyote wanayopata wabunge wengine wanapomaliza muhula wa miaka 5 ya utumishi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.