Nipo maeneo ya Zanzibar nahitaji sana msaada kwa anaefahamu jinsi ya kukabiliana na hili tatizo la kuvimba na baadae kubanduka kwa rangi katika kuta za ndani ya nyumba
Habari zenu, kuna ndugu yangu ameweka tiles(marumaru) ila cha kushangaza haijachukua hata mwaka zimechunika.
Ushauri wenu kwanza ni nini chanzo cha tiles kufanya hivyo?
Je, kuna uwezekano wa kuzitoa na kuweka nyingine?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.