Recent content by Hamduni

  1. Hamduni

    UWT yamchangia Samia Suluhu Hassan Tsh milioni 2 kwa ajili ya kuchukulia fomu ya urais ifikapo mwaka 2025

    🗓️ 26 Machi, 2024 Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT) ikiongozwa na Mwenyekiti wake Ndugu. Mary Chatanda kwa pamoja wametimiza ahadi yao kwa kumpatia Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, kiasi cha Tsh Milioni 2,000,000/= kwaajili ya...
  2. Hamduni

    Jokate: Rais Samia kamaliza yote, deni lipo kwetu sisi kuhakikisha tunamtendea haki

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT) Ndugu. Jokate Mwegelo amesema kuwa Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kipindi cha miaka 3 ya Uongozi wake kwakuwa amefanya makubwa katika sekta mbalimbali za Afya, Elimu, Miundombinu, Maji...
  3. Hamduni

    Hongera Rais Samia kwa kutimiza miaka mitatu tangu uape kuwa Rais

    Na Amosi Richard[emoji1621][emoji1621] Ingelikuwa ni kitabu cha hadithi basi ingekuwa hadithi nzuri isiochosha yenye kuvutia sana kuanzia kwa msimuliaji na hadhira yake, lakini ni kazi tu za Mwanamke mmoja kutoka ardhi ya Kizimkazi ndani ya Visiwa vya Marashi ya Karafuu aliyeweza kubadilisha...
  4. Hamduni

    Asante Hayati Magufuli, pongezi Rais Samia

    ASANTE DKT.JPM ,PONGEZI DKT.SAMIA Na.Amon Nguma. Tarehe 17 Machi mwaka huu wa 2024 tumetimiza miaka mitatu tangu kufariki Rais wa awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati.Dkt.John Pombe Magufuli lakini miaka mitatu ya Uongozi wa aliyepokea kijiti Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan...
  5. Hamduni

    Katika hili sakata la kitita cha Mafao ya matibabu nichangie kwa kuanza kusema

    Katika hili sakata la kitita cha Mafao ya matibabu nichangie kwa kuanza kusema. Afya ni siasa, Afya ni Biashara na Afya ni Maisha Hakuna ubishi kuwa Serikali inapaswa kushirikiana na watoa huduma mbalimbali kutoka sekta binafsi. Katika mfumo wa afya Tanzania Serikali imekuwa imekuwa...
  6. Hamduni

    Msimamo wa Wizara ya Afya kuhusu maboresho ya kitita NHIF 2023

    MSIMAMO WA WIZARA YA AFYA KUHUSU MABORESHO YA KITITA NHIF 2023. Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amevielekeza Vituo Binafsi vilivyoingia mkataba na NHIF Kuzingatia masharti ya Mikataba yao Waziri ya Wizara ya Afya Mhe. Ummy Mwalimu amevielekeza vituo vyote vya afya binafsi na vya umma...
  7. Hamduni

    DOKEZO Wenye Hospitali binafsi wakataa kuwahudumia wateja wa NHIF kutokana na vifurushi vipya

    Nadhani tungeangalia Kwanza Manufaa ya ya Maboresho haya kabla ya kuingia kwenye lawama na Migogoro. Kwa Mfano Maboresho haya Wanachama wanaotumia dawa za pressure na sukari sasa wanaweza kupata dawa ngazi za chini
  8. Hamduni

    DOKEZO Wenye Hospitali binafsi wakataa kuwahudumia wateja wa NHIF kutokana na vifurushi vipya

    Tukumbuke kuwa Wanachama wanaopata dialysis gharama imeshushwa kwenye vituo vya chini hivyo maboredjo haya ni Muhimu na yana manufaa makubwa.
  9. Hamduni

    DOKEZO Wenye Hospitali binafsi wakataa kuwahudumia wateja wa NHIF kutokana na vifurushi vipya

    Maboresho haya yanasaidia huduma za kibingwa na bingwa bobezi kama matibabu ya moyo, saratani, figo kupatikana kwenye ngazi za Kanda pia na sio lazima mwanachama aende mpaka hosp za ngazi taifa.
  10. Hamduni

    DOKEZO Wenye Hospitali binafsi wakataa kuwahudumia wateja wa NHIF kutokana na vifurushi vipya

    Maboresho haya yanasaidia huduma za kibingwa na bingwa bobezi kama matibabu ya moyo, saratani, figo kupatikana kwenye ngazi za Kanda pia na sio lazima mwanachama aende mpaka hosp za ngazi taifa.
  11. Hamduni

    DOKEZO Wenye Hospitali binafsi wakataa kuwahudumia wateja wa NHIF kutokana na vifurushi vipya

    Wizara ya afya inafanya kazi kubwa sana kusaidia Wanachama wa Mfuko wa Bima ya afya unakua na manufaa kwao bila kuasiri uhai wa Mfuko. Maboredho hayo yameongeza huduma nyingi Muhimu na dawa ambazo hazikuepo awali.
  12. Hamduni

    Miaka 47 ya CCM, Shiriki Uchaguzi kwa Uadilifu na Kazi lendelee

    HERI YA MIAKA 47 YA KUZALIWA KWA CCM Historia inaturudisha nyuma tarehe 5 Februari, 1977 baada ya kuungana kwa Vyama vya Tanganyika African National Uniona (TANU) kilichokuwa kikitawala Tanzania Bara na Afro-Shirazi Party (ASP) kilichokuwa Chama Tawala cha Zanzibar wakati huo, Ndipo kikazaliwa...
  13. Hamduni

    Rais Samia amefanya makubwa sekta ya maji wilayani Ludewa

    RAIS WETU MHESHIMIWA DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AMEFANYA KAZI KUBWA SEKTA YA MAJI, HII NI ZIARA YA UKAGUZI WA MIRADI YA MAJI WILAYA YA LUDEWA. ZIARA ITAGUSA MIRADI IFUATAYO KATA YA MAVANGA MRADI WA MAJI KIJIJI CHA MAVANGA • Gharama za mkataba (Mkandarasi): Tsh. 1,340,809,578. • Mradi utahudumia...
  14. Hamduni

    Mbetto: Ilani ya CCM imetekelezwa asilimia 99% miaka mitatu ya Dkt. Mwinyi

    Unguja. Serikali ya awamu ya nane inayoongozwa na Rais Dk Hussein Mwinyi inatekeleza miradi yake kupitia ilani ya Chama cha Mapinduzi (CCM). Wakati leo Rais Mwinyi akitimiza miaka mitatu madarakani, CCM inaridhika kwa kiasi kikubwa jinsi ilani inavyotekelezwa na kiongozi huyo katika sekta...
  15. Hamduni

    Serikali kurudisha tena Mswada wa Bima ya Afya kwa Wote tena bungeni kesho 01/11/2023

    Serikali kupitia Wizara ya Afya inatarajia kurejea Bungeni tena hapo kesho Novemba 1 2023 na Muswada wa Bima ya Afya kwa wote ambao ulikwama mnamo Mwezi Februari 2023 kwa hoja iliyotolewa na Bunge ya kutokuwepo kwa chanzo endelevu cha fedha kutekeleza Mpango huo. Muswada huu ni ndoto ya...
Back
Top Bottom