Recent content by haloo

  1. haloo

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda: Haitafika Jumapili kabla hatujampata Roma na wenzake wanne

    Kwani wewe unadhani akina nani walimteka Roma na wenzake ?
  2. haloo

    JamiiForums Tanzania Mh.Waziri wa Elimu Ndalichako, hatuendi shule za Msingi hata kwa vitisho.(Maandamano yaja)

    Uliepost ni kilaza sana.kama hutaki kuja primary wewe acha kazi
  3. haloo

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki na siasa za kinafiki Tanzania

    Sasa unaongea nini?
  4. haloo

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki na siasa za kinafiki Tanzania

    Mtoa mada nakuunga mkono hata gwajima naye anamkubali mkuu ila kipindi cha jk gwajima alioonekana akimpinga kila siku.watanzania tujiiulize kwanini?
  5. haloo

    JamiiForums Tanzania Dk Slaa: Mvumilieni Rais Magufuli. Natafakari kurudi nchini siku yoyote

    Je Dr slaa kwanini ulikosa kumvumilia Jk ?
  6. haloo

    JamiiForums Tanzania Hongera Rais Magufuli kwa kuzima jaribio la kuitikisa Serikali yako

    Umri wako na akili yako zipo tofauti
  7. haloo

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM Rufiji apigwa risasi na kufariki dunia

    Sumba wanga wanaoua albino je wakristo hakuna?
  8. haloo

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Bajeti ya kwanza ya Magufuli imefeli kuliko bajeti zote katika Historia

    Yeye anasema uchumi unadidimia sasa
  9. haloo

    JamiiForums Tanzania ATCL: Miezi minne tumekusanya bilioni 9, tumetumia 80% ya makusanyo kulipa madeni

    Hilo deni limetoka wapi tena
  10. haloo

    JamiiForums Tanzania Masikitiko - Timu ya Taifa yawa timu ya Mkoa wa Dar es salaam

    Mbona msimu ukiiasha hao simba na yanga wanaenda mikoani kuchukua wachezaji? Kama mikoani hakuna wachezaji wazuri.angalia hata uingereza wachezaji aliwika tu zile big four team wanawachukua .mbona kocha wa england achukui tu timu za big four? yeye huchukua mpaka timu ndogo ndogo
  11. haloo

    JamiiForums Tanzania Masikitiko - Timu ya Taifa yawa timu ya Mkoa wa Dar es salaam

    Ndio maana hili timu silipendi.Jana wamewafunga wale makirikiri wanajiona wanajua
  12. haloo

    JamiiForums Tanzania Makosa ya kitaalamu Oparesheni Nape

    Unaharibu alianza kusema nape kwa taarifa yako
  13. haloo

    JamiiForums Tanzania Mhe. Rais, Mitandao ya kijamii yaweza kuangusha serikali. Actually, imewahi kuangusha serikali!

    Leo nimeshangaa sana Mimi nipo muheza hapa Tanga.mida ya asubuhi chama Fulani cha upinzani kilipita kiliweka bendera mbili kwenye gari na walikuwa wanawasha mziki wa mgombea wao wa uchaguzi wa 2015.nilishangaa kuona halaiki ya watu pale stendi ikishangilia na kupiga makofu ile gari ilipokuwa...
  14. haloo

    JamiiForums Tanzania Bandarini Dar: Rais Magufuli akamata kontena lenye magari 3 na Makontena 20 yenye Mchanga wa Madini

    Mbona haya mambo yanafanyika awamu hii .si mlisema mmedhibiti bandari hakuna udanganyifu?
  15. haloo

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere: Hii Katiba ya Tanzania, tukimpata Rais asiye na busara anageuka kuwa Mungu

    Mimi sijaelewa kama yeye alijua kwanini asiibadilishe yeye mwenyewe.wakati yeye ndio alioitunga
Back
Top Bottom