Recent content by Halinga Auto Tech

  1. H

    JamiiForums Tanzania Yajue Magari ya Hybrid

    full tank huwa natembea 700-750km inategemea na gari nmeitumia vipi mana unaweza nasa foleni 2hrs hapo lazima hesabu ivurugike inaweza soma hata 12kml
  2. H

    JamiiForums Tanzania Yajue Magari ya Hybrid

    Vezel haiwezi kuizidi Prius labda prius iwe na shida
  3. H

    JamiiForums Tanzania Yajue Magari ya Hybrid

    20-25 kml
  4. H

    JamiiForums Tanzania Yajue Magari ya Hybrid

    handle zipo kama za nissan juke
  5. H

    JamiiForums Tanzania Hybrid cars za chini ya 25m

    hyo ni kundi la crossover Suv list inakuja
  6. H

    JamiiForums Tanzania Hybrid cars za chini ya 25m

  7. H

    JamiiForums Tanzania Yajue Magari ya Hybrid

    upande wa gear box zipo Cvt huku inaitwa eCvt ipo na Dct/E-Dct pia ipo AT ya kawaida so uendeshaji utategemea gearbox ipi. mfn ukiwa na dct hii unakanyaga tu mana ndo mamb yake af cvt za hybrid nyingi hazitumii chain so hazizingui kiivo
  8. H

    JamiiForums Tanzania Yajue Magari ya Hybrid

    Gari ya 2008 tunaita new model🤣🤣🤣 Ni aibu
  9. H

    JamiiForums Tanzania Yajue Magari ya Hybrid

    Mkuu tatizo watanzania wengi hawako tayari kuadapt teknolojia mpya tena huku kwenye magari ndo kabisaaaa yani watu wanafata mkumbo, leo kuna watu ukiwaambia kuna gari zinatumia mafuta kidogo kuliko ist hamtaelewana so acha waendelee na maisha waliyozoea ila watafunguka taratibu siku wakijua...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Yajue Magari ya Hybrid

    Rav 4 hybrid zipo kuanzia 2016 kuja juu, hapo yoyote utakayoimudu kununua ni fresh 2 ziko poa na kuanzia 2020 zipo hybrid na plug in hybrid so popote mfuko wako utakapofika uko salama
  11. H

    JamiiForums Tanzania Yajue Magari ya Hybrid

    mafundi tupo, af hybrid system huwa ni ngum sana kupata shida ni mfumo ambao unaweza kudum zaidi ya 300000km bila shida yoyote. kikubwa tu uitunze na ufanye service vzr. soon nitatoa maelekezo ya namna ya kuitunza na kuifanya gari idumu zaidi. Kuhusu mafundi tupo na spea zake ninazo sema tu...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Yajue Magari ya Hybrid

    Asante mkubwa
  13. H

    JamiiForums Tanzania Yajue Magari ya Hybrid

    Yaaa sure thats why nashauri kwa anaependa zaidi Ev basi ni vizuri achukue Plug in hybrid coz mjini atakuwa nachaji nyumbani na akitaka kusafiri anaweka wese tu
  14. H

    JamiiForums Tanzania Yajue Magari ya Hybrid

    0767333346
Back
Top Bottom