Recent content by Halima Mdee

  1. Halima Mdee

    Halima Mdee: Rais Magufuli, Serikali yako imechafuka, chutama uweze kujisitiri

    RAIS MAGUFULI, SERIKALI YAKO IMECHAFUKA,CHUTAMA UWEZE KUJISITIRI! NDUGU RAIS naona Trillion 1.5 imekutoa mafichoni, CAG ameivua nguo SERIKALI yako! CHUTAMA uweze kujisitiri !! USITISHE WATU! Nasema na wewe nikiwa nina kumbukumbu ya kukamatwa na vyombo vyako vya usalama SAA TISA ALFAJIRI...
  2. Halima Mdee

    Kigugumizi cha Naibu Spika leo - Februari 08, 2012

    Ni kweli kigugumizi ni kikali sana...na inawezekana pia inatokana na madhaifu ya Kamati ya Huduma za Jamii iliyopewa jukumu la kuliwakilisha Bunge kwa kukutana na madaktari ili Bunge liweze kupata upande wa pili wa taarifa baada ya kupata kauli ya Serikali. Tofauti na ilivyotarajiwa inaonekana...
  3. Halima Mdee

    Lazaro Nyalandu: USA inataka niwe rais wa Tanzania 2015

    unajua kinachonisikitisha...kila mwanasiasa wa Tanzania anadhani anaweza kuwa Rais! Ikulu imeshushwa hadhi saaana.
  4. Halima Mdee

    James Mbatia aamua kufuta kesi dhidi ya Halima Mdee

    Wadau, nikiwa kama mhusika mkuu kwenye kesi. Napenda kuwahakikishia wanajamii pamoja na watanzania kwa ujumla kwamba Uamuzi wa mhe Mbatia wa kiuifuta kesi dhidi yangu ni dhamira yake njema ya kulinda maslahi mapana ya upinzani nchini. Nimesoma comments za wanajamii kadhaa ,baadhi yao...
Back
Top Bottom