Recent content by Halima james

  1. H

    JamiiForums Tanzania msaada wana mzumbe

    Ndo nkauliza ni sifa gani zinazotofautisha mzumbe na vyuo vyengine?
  2. H

    JamiiForums Tanzania msaada wana mzumbe

    Mm npo economic in ppm
  3. H

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa wanafunzi wa mzumbe

    Kwan semster ya pili c kuna mambo ya stragged i thnk w2 wote hua na nafac. Vp kwan uko koz gan?
  4. H

    JamiiForums Tanzania msaada wana mzumbe

    Upekee upi uliopo mzumbe mkubwa!
  5. H

    JamiiForums Tanzania Karibuni wa Mzumbe University

    Vp kuhusu bsc economics in project plannng and mgt
  6. H

    JamiiForums Tanzania karibuni wa mzumbe university

    Mm npo hapo nmechaguliwa bsc. economics in PPM ikoje iyo
  7. H

    JamiiForums Tanzania karibuni wa mzumbe university

    Vp kuhusu admission letter kwa sisi wa mbali
  8. H

    JamiiForums Tanzania Karibuni wa Mzumbe University

    kama sisi tunotoka mbali na hatuna jamaa hao morogoro itakuaje hii siku ya kuwasili......
  9. H

    JamiiForums Tanzania currently CAS a/c,empty program code to majority!

    km kuna aliyeomba kupitia diploma naomba anijuze tafadhali..... mm mbona profile yangu ipo vile vile km mwanzo hakuna kilicho badilika vp upande wenu wenzangu
  10. H

    JamiiForums Tanzania Wadau wenye diploma za vyuo vilivyo chini ya NACTE

    mm ivo ivo naambiwa selection is on process bt kwa upande wa editing selection ipo vile vile hii imekaaje kwanini ikuwepo hii sehemu ya editing selection wakati dateline imeshapita na jina langu halimo katika waloambiwa wafanye tena maombi.
  11. H

    JamiiForums Tanzania Notice to public nacte.....to those with dipolma qualification

    mimi nashkuru katika hayo majina simo lakini cha kushangaza kwenye profile yangu mbona kumebakia vile vile hakuna kitu kilichofanyika.....mfano sehemu ya editing selection ipo vile vile wakati dateline imeshapita.
  12. H

    JamiiForums Tanzania To diploma applicants

    nimejaribu kuangalia jina langu katika hio list nashkuru halimo bt cha kushangaza profile yangu imebaki vile vile hakuna kitu kilichobadilika. vp kiupande wako.
  13. H

    JamiiForums Tanzania BAF YA MZUMBE VS BAF YA ARDHI and MUCCOBS

    Je sisi wa diploma uwe na gpa ngapi cz nataka kwenda mzumbe bt my gpa ni 3.2 je inawezekana.
  14. H

    JamiiForums Tanzania BAF YA MZUMBE VS BAF YA ARDHI and MUCCOBS

    Je kwa mzumbe wanchukua kuanzia gpa ngapi kwa m2 aliyesoma diploma ambae antaka kujiunga na degree hapo?
  15. H

    JamiiForums Tanzania Kuhusu bachelor of statistics

    Naomba kujuzwa kuhusiana na hii koz unafanya kazi zip? na je kuna uwezekano wa kujiajiri.
Back
Top Bottom