Recent content by HALFAN MATIPULA

  1. H

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe anamiliki jumba la kifahari Dubai!

    Tunashukuru kwa maelelezo yako mazuri japo sio convicing.Kwa UKWASI huo wa MWENYEKITI wa CHADEMA anakosa cfa ya kuwa kiongozi Muadilifu na Mzalendo kwa nch yake na kwa upande wangu ntakuwa mtu wa mwisho kumuondoa mh.Mwenyekt kwny orodha ya MAFISADI wa nch hii.
  2. H

    JamiiForums Tanzania MAZURI ya Kikwete ambayo hayajawahi kufanywa na marais waliomtangulia HAYA HAPA

    Kwa uungwana na ukweli,tukiacha siasa za ki-HARAKATI NA HUSUDA lazma ufike wakati tukiri kwa sauti bila HOFU kwamba kwa kipindi chake JK amefanya mengi MAZURI kwa watanzania.Nimesema tuache UNAFIKI na HUSDA.!Ndiyo banaa..! Mnyonge Mnyongeni Haki Yake Mpeni !
Back
Top Bottom