Recent content by hakiwapi

  1. H

    JamiiForums Milioni 700 zatengwa kwa uhamisho wa wafanyakazi nhif

    Wizara ya afya tunaomba ifanye mabadiliko kwa viongozi wa mfuko huu hasa mkurugenzi mkuu wao maana jamaa ni mbabe kama nini anaongoza kwa ukatili na manyanyaso kwa wafanyakazi.Kaweka viongozi wachini yake kama vivuli tu kila jambo anaamua mwenyewe.
  2. H

    JamiiForums Milioni 700 zatengwa kwa uhamisho wa wafanyakazi nhif

    Tunakatwa mishahara yetu kwa manufaa ya wachache, walimpue tu tunahitaji nguvu mpya 2015
  3. H

    JamiiForums Kuhusu usaili nhif

    Mdau pale hata usihangaike mkurugenzi wao anaajiri watoto wa vigogo tu.
Back
Top Bottom