Recent content by HakinaAmani

  1. H

    JamiiForums Tanzania Joshua Nassari amjibu Mwigulu Nchemba

    hivi mshipa wa aibu wa mwigulu utakatika lini? siamini kama huyu ni binadamu wa kawaida, yaani madudu yote anayoyafanya kichwani mwake anaona ni sawa tu. we juzi tu wamasai kule loliondo wamekukatalia huoni aibu, waziri kagasheki kakuumbua kwa unafiki wako kuhusu loiondo, lakini huoni aibu...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Sijashiriki kurekodi mkanda wa video unaomwonesha ndg Lwakatare

    we mwigulu huo umafia unaofanya si siku nyingi utakuwa wazi tu. kwa sasa hivi unaweza kuwa unajidanganya kwamba huonekani lakini wanaoamini Mungu wanajua kuwa hayo yote yako hazarani na tunasubiri siku ili uibike. hivi huuamini kuwa kila kitu kina mwisho wake? kwani ccm itatawala milele? kwani...
  3. H

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, Kulikoni Jengo la Ghorofa Lililoporomoka?

    yaani mfanye uzembe wa kifisadi mpaka jengo lidondoke halafu eti makamanda wawahi kufika kwenye tukio........mwisho wenu wala hauko mbali endeleleeni tu na ufisadi wenu
  4. H

    JamiiForums Tanzania Kuanguka kwa ghorofa: Watanzania waonekana kutojiandaa kwa lolote

    Viongozi wapo busy na mambo yao binafsi
  5. H

    JamiiForums Tanzania Radio Imani Morogoro mnakotupeleka hakufai. Mwisho wake mbaya sana!

    serikali ya magamba ndo inayolea ujinga huo....ipo siku mambo yatakuwa hadharani tu
  6. H

    JamiiForums Tanzania Mangula acheza rafu CHADEMA

    hizo mbinu mbona ni za kitoto...kama wameshindwa kuongoza nchi si wakabidhi kwa wananchi
  7. H

    JamiiForums Tanzania CCM mlitangaza vita dhidi ya wananchi sasa wanajibu mapigo!!!!!

    Hao mafisadi wanavuna walichopanda.......na bado mpaka wakapowaheshimu wananchi
  8. H

    JamiiForums Tanzania Kikwete's Regime Exposed: Activists report to US Congressional Committees... For Your Eyes Only

    Hawa mafisadi wanajifanya kuziba masikio yao na gundi siku si nyingi tutazibua masikio yao na pisipisi ndo watambue nguvu ya umma.
  9. H

    JamiiForums Tanzania Katiba itambue kuwepo kwa Mungu – UKUEM

    ni kweli hakuna anayemtegemea Mungu wa kweli na asifanikiwe
  10. H

    JamiiForums Tanzania MKAPA: Rais pekee aliyekataa kwao na asilia yake

    mkataa kwao ni mtumwa
  11. H

    JamiiForums Tanzania Ndesamburo: Nimerudi na niko fiti kikamilifu

    karibu kamanda kwa mapambano
  12. H

    JamiiForums Tanzania Makamba ataka TTCL ichunguzwe na CAG

    Top manag yote ni wabadhilifu wachunguzwe watimuliwe na kupelekwa mahakamani ili kuinusuru ttcl
  13. H

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yatimiza miaka 20 tangu isajiliwe kuwa Chama cha Siasa

    all the best cdm, god bless u all
  14. H

    JamiiForums Tanzania Reginald Mengi: Mangula, wala Rushwa wanajulikana unasubiri nini?

    ccm na rushwa mbona ni kama vile uji na mgonjwa au uzi na sindano hawaachani
  15. H

    JamiiForums Tanzania Tume ya Uchaguzi yakiri haiko uhuru! Yataka iitwe Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, iwe chini ya Bunge

    kwa kweli maoni haya yanaonesha kuwa watz wamedhulumiwa kwa muda mrefu sasa tunataka demokrasia ya kweli. Asitokee fisadi yeyote wa kuchakachua haya maoni yaingizwe kwenye rasimu kama yalivyo
Back
Top Bottom