Recent content by Hakikwanza

  1. Hakikwanza

    JamiiForums Tanzania Uteuzi umefanyika jana ambapo Wakristo wamejaa tele kila eneo lakini watu wapo kimyaa hawasemi Udini

    Una evidence zinazo kuthibitishia hilo?
  2. Hakikwanza

    JamiiForums Tanzania Uteuzi umefanyika jana ambapo Wakristo wamejaa tele kila eneo lakini watu wapo kimyaa hawasemi Udini

    Uliyejadili habari ya udini ni wewe angalia heading yako " Uteuzi umefanyika jana ambapo Wakristo wamejaa tele kila eneo lakini watu wapo kimyaa hawasemi Udini " kwahiyo wewe nimdau wa udini ndio maana umefanya mahesabu na kushutumu Wakristo. Mimi binafsi huwa siangalii dini, kabila, kanda...
  3. Hakikwanza

    JamiiForums Tanzania Shemeji wa makamu wa Rais alamba uteuzi, mashalaah

    Maji yanafuata mkondo
  4. Hakikwanza

    JamiiForums Tanzania Uteuzi umefanyika jana ambapo Wakristo wamejaa tele kila eneo lakini watu wapo kimyaa hawasemi Udini

    Muogope Mungu unauhakika na hizo kura? Muda mwingine kukaa kimya ni busara sana. Duniani tunapita tu hivyo ni vema kuwa makini na hii dunia
  5. Hakikwanza

    JamiiForums Tanzania Uteuzi umefanyika jana ambapo Wakristo wamejaa tele kila eneo lakini watu wapo kimyaa hawasemi Udini

    Kazi unayo kubwa sana, shida yako uwezo wako wa kufikiri kuhusu taifa lako na hatima yake ni duni sana. Wewe fikra zako zimejengeka katika udini, na ukitoka hapo utaingia kwenye ukanda na ukabila. Tunatakiwa tuhame huko tuangalie manufaa na utendaji wa mteuliwa kwa Taifa letu. Tanzania...
  6. Hakikwanza

    JamiiForums Tanzania Madereva: Hatuingii barabarani hadi turudishiwe pointi zetu

    Shida ya sisi wananchi tumewazoesha watawala kututawala watakavyo ndio maana tumefika hapa. Siasa chafu imechukua nafasi kila kona ya nchi na sisi wananchi tupo kimya kwa uzezeta wetu. Ndio maana tumefika hapa tulipo. Serikali kila siku inabuni utitiri wa vitasisi, tozo, na sheria ili kupata...
  7. Hakikwanza

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo akutana na jumuiya ya diaspora ya Tanzania nchini Korea

    Haya kamanyie mnawaelewa haya sisi huku nyumbani wanatuptezea muda namalengo yetu. Maana sio watu wema hoa
  8. Hakikwanza

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Kutunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari na Chuo Kikuu cha Patrice Lumumba, Russia

    Wote wapo sawa upande wa kuminya demokrasia ila staili yao ni tofauti. Kiufupi Tanzania haina kiongozi ina mtawala
  9. Hakikwanza

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kufanya ziara nchini Urusi kuanzia Juni 3 hadi Juni 5, 2026

    Mimi binafsi sioni faida ya huyu Rais wala serikali yake na mihimili mingine kama bunge na mahakama haina faida kwa taifa hili. Maana vyote vinaingiliwa na huyu mama. Hivyo hakuna faida hata ya hizo ziara zake. Bullshit government
  10. Hakikwanza

    JamiiForums Tanzania Mama tukubali kawa mzigo kwa Tanzania!

    Mpuuzi Kwenye kupita hapo alipitishwa na tume ya uchaguzi na vyombo vya dola. Kufika hapo ni kwa kurithi nafasi hiyo kutokana na Rais Magufuli kufa.
  11. Hakikwanza

    JamiiForums Tanzania Mama tukubali kawa mzigo kwa Tanzania!

    Na mimi pia. Wewe na nani mnampenda
  12. Hakikwanza

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Kutunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari na Chuo Kikuu cha Patrice Lumumba, Russia

    Hicho chuo kitakua hakijafanya utafiti kina mpa Phd kafanya nini na kwamisingi ipi.
  13. Hakikwanza

    JamiiForums Tanzania Je, Padri Kitima Anachuki Na Serikali, Anachuki Na Rais Samia Au Chuki Na Uislamu?!

    Shida kubwa kwa taifa letu ni chawa.Wao wapo kwa kumpinga yeyote anayetetea haki
  14. Hakikwanza

    JamiiForums Tanzania TEC ivunjwe imekiuka miiko ya Kikatoliki kwa kushindwa kueneza upendo kwa wote

    TEC ni taasisi imara na imesimama kwenye kweli shida ni kuwa Watanzania wengi wanauwezo mdogo wa kufikiri(low IQ). Mtu akinufaika na kamfumo fulani hawazi future ya taifa lake hii ni hatari sana. Utendaji na uwajibikaji wa serikali yetu upo chini ya kiwango sana. Tunahitaji taasisi imara nyingi...
Back
Top Bottom