Ww hujui chochote na hutakaa ujue chochote, mm nilikuwa msimamizi wa kituo! Najua kilichofanyika!!! Yalikuwa yanatekelezwa maagizo wala sio maamuzi ya wananchi!!,
Kiujumla uchaguzi huu ulikuwa wa hovyo sana
Duh!!! Nimewaza sana kama hii kwako in jehanum. Utakapofika jehannum yenyewe itakuaje???? Okoka na umwamini Yesu kwa kumkri kwa kinywa chako atakuepusha na jehannum.
Wzazi wengi kwenye malezi wamefeli sana! Hakika hukumu ya Mungu itakuwa juu yao
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.