Recent content by haki kwanza

  1. H

    Tuhuma dhidi ya Oluoch - CWT Taifa

    MGOMBEA UNAIBU KATIBU MKUU MWL EZOLUOCH AMEAMUA KUTUMIA MAKATBU WAKE WA MIKOA NA WA WILAYA KUMFANYIA KAMPEN NA KUGAWA VIPEPERUSH TUNASEMA (hii si sawa) hawa hawatakiwi kumpigia yeyote kampen. sasa tunatoa ONYO LA MWISHO "MAKATIBU ACHEN KUMNADI OLUOCH" ACHEN, ACHEN ACHEN. Tunakusanya na kurekod...
  2. H

    Tuhuma dhidi ya Oluoch - CWT Taifa

    Kwa kweli tuhuma hizi za kuifanya bank ya walimu Private badala ya Public ni wazo la awali kabisa la Oluoch ndio maana ukitazama kwenye Document ya uanzishwaji bank ilipotua BoT, BoT waliigomea kwa kuwa ilikuwa ina u private, baadaye hekima za Msulwa na kamati yake ndio ikaweka mambo sawa walau...
Back
Top Bottom