Recent content by Haji_Muhumba

  1. Haji_Muhumba

    JamiiForums Tanzania Nimekoma walahi! Pilau la buku nimelinunua kwa 32,000 za dripu mbili

    Ukiona kitu kizuri bei rahisi basi shtuka. Hamna kitu kizuri Kwa bei rahisi hivo.
  2. Haji_Muhumba

    JamiiForums Tanzania Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

    Hii kitu nilishawai anza kuifanya lakini ikawa kama mauzauza mana nilibadilika nikawa najitenga sana. Yani kupenda kukaa mwenyewe na pia usiku nilikuwa silali mana vitu vya kutisha vilikuwa vingi. Ila nataka kujifunza jinsi ya kujicontrol. Sijui wapi naweza kupata mafunzo.
Back
Top Bottom