Recent content by Haiba

  1. H

    JamiiForums Tanzania Kura ya maoni si Mwarobaini wa Muungano katika katiba Mpya

    Kuna mapendekezo mengi kuhusu muungano wa Tanzania Bara na Tanzania Visiwani. Wapo wanaopendekeza kuwapo kwa kura ya maoni kama njia ya kupata jibu ya nini kifanyike kuhusu Muungano katika katiba mpya. Kura ya maoni haitakuwa suluhu kwa sababu zifuatazo. 1. Ni vigumu kupata uchaguzi ulio huru na...
  2. H

    JamiiForums Tanzania CHADEMA irekodi mikutano yote na misafara ya wabunge na viongozi wa CHADEMA wa kitaifa

    Asante, itakuwa vizuri ikiwa utawafikia wahusika.
  3. H

    JamiiForums Tanzania CHADEMA irekodi mikutano yote na misafara ya wabunge na viongozi wa CHADEMA wa kitaifa

    Asante, ni matumaini yangu kuwanujumbe huu utawafikia wahusika
  4. H

    JamiiForums Tanzania CHADEMA irekodi mikutano yote na misafara ya wabunge na viongozi wa CHADEMA wa kitaifa

    Ni sawa pia njia hii uliyopendekeza itumike. Lakini hii teknolojia mpya ya Chadema inachukua matukio mengi zaidi na kwa muda mrefu. Waitumie zaidi
  5. H

    JamiiForums Tanzania CHADEMA irekodi mikutano yote na misafara ya wabunge na viongozi wa CHADEMA wa kitaifa

    Asante Kasimba na Marco
  6. H

    JamiiForums Tanzania CHADEMA irekodi mikutano yote na misafara ya wabunge na viongozi wa CHADEMA wa kitaifa

    Kutokana na kushambiliwa na polisi katika mikutano mbalimbali ambayo Chadema inatimiza wajibu wake wa kidemokrasia ni vizuri sasa chama hiki watumie teknoljia ile waliyoitumia Arusha kuweka kumbukumbu ya picha kwa kila mkutano na misafara unaohusisha wabunge, viongozi wa juu wa Chadema na makada...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Habari JF

    Baada ya kufuatilia kwa muda mrefu habari za kusisimua za JF, sasa najiunga rasmi kama mwanachama. Tupo pamoja
Back
Top Bottom