Recent content by haha

  1. haha

    JamiiForums Tanzania Serikali yalifungia kanisa la Spirit Word Ministry

    Huyu jamaa alikuwa anauza vipodozi Sasa Kahamia huku!? Daaa
  2. haha

    JamiiForums Tanzania Natafuta mganga wa kienyeji konki

    Unataka Kwa akili ya Nini!? Kuna waliospecialize kwenye fani mbali mbali 1) kesi 2)kumdhuru mgoni 3) kumdhuru mwizi wa Mali Yako 4) kuzuia wizi nk Nb SEMA unataka yupi tukupe namba!?? Usikubali kuonewa na mtu
  3. haha

    JamiiForums Tanzania Mafia: Watu 7 wafariki dunia baada ya kula nyama ya Kasa

    Mtu anakataa nguruwe anakula kasa Kisha anakufa !!!
  4. haha

    JamiiForums Tanzania Mafia: Watu 7 wafariki dunia baada ya kula nyama ya Kasa

    Mungu amewapa watanzania ngombe,mbuzi, samaki,kuku ,bata,kondoo,mbuzi katoliki samaki wa maji chumvi na barid!! Dagaa nk !!! Unaaacha vyoote unakula Kobe " kasa" !??? Naomba nisisikitike
  5. haha

    JamiiForums Tanzania Watu wenye pesa/mafanikio wako very humble

    Uzi umegonga mwamba
  6. haha

    JamiiForums Tanzania Watu wenye pesa/mafanikio wako very humble

    Hahahaaaa
  7. haha

    JamiiForums Tanzania Ualimu ni taaluma mama inayohusika moja kwa moja na kujenga taifa lakini inasulubiwa. Hali hii itaisha lini?

    Tumechoka bana poor mind people discuss people!!!
  8. haha

    JamiiForums Tanzania Serikali angalieni masilahi ya wafanyakazi wa sekta binafsi

    Humu jf Kuna watoto wengi Sana akina Mpwayugu ambae huwatukana walimu !!mtu anakwambia kwenye mining industry engineer aliyetika UD analipwa million 23 Huwa nacheka sana
  9. haha

    JamiiForums Tanzania Kuna bomu linakaribia kulipuka muda wowote

    At from diploma to masters
  10. haha

    JamiiForums Tanzania Kuna bomu linakaribia kulipuka muda wowote

    Mimi Kila siku naliongea Hilo ila wapumbavu hawaelewi
  11. haha

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Elimu na hili za kuzuia nyimbo zisizo na maadili kwenye mabasi ya wanafunzi tu? Linashangaza!

    Kuna wakati maamuzi mengine yanashangaza kidogo au Sana!! Sijajua basata Huwa inawaogopa Bongo favour au vipi!? Juzi Wizara ya Elimu imekuja na azimio la kukataza nyimbo zisizo na maadili kupigwa kwenye mabasi ya shule!! Amaa!!!, kumbe mnajua kuna nyimbo zisizo na maadali? Kwanini, msizifungie...
  12. haha

    JamiiForums Tanzania Hii Tabia siipendi, unapanda kwenye daladala mwanamke anagandisha makalio kwenye mkwaju

    Utoto umekuwa mwingi mno humu jf
  13. haha

    JamiiForums Tanzania Mhasibu wa Benki atekwa, achomwa petroli porini

    Picha jamani
  14. haha

    JamiiForums Tanzania Usalama wa taifa kazi yao nini? Watuambie Panya road ni akina nani?

    Huwa najiuliza nikiona apple [emoji519] za nje zinauzwa Tz ,vitunguu na matikiti majinya Tz yanaozwa Kenya Kwa wingi tena nasikia Kenya Wana export hayo mazao Yani vitunguu,matikiti,na machungwa Kwa wingi kutoka Tanga to Nairobi then Europe kinachonifanya nijiulize ni hiki!! 1) kwann tiss...
  15. haha

    JamiiForums Tanzania Hivi Wanajeshi, Polisi, TISS, Magereza wapo chini ya utumishi?

    2.4 m?????
Back
Top Bottom