Recent content by hafidhio

  1. hafidhio

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Uvinza kunalimwa chumvi
  2. hafidhio

    Picha: Mrembo wa Kitanzania aliyekamatwa na heroin China

    Kwa hivi sasa bangi inasubiri. Hiyo ngada hapo bongo imekua Kama mkaa kila mtaa Kuna muuzaji. Ila zamani walikua wanafanya vigogo wa serikali hivi Leo wanatumia baadhi ya watu. Sababu wao wanaogopa kukamatwa.
  3. hafidhio

    Picha: Mrembo wa Kitanzania aliyekamatwa na heroin China

    Ahahaaaaaa salute kaka
  4. hafidhio

    Picha: Mrembo wa Kitanzania aliyekamatwa na heroin China

    Tatizo wabongo wamefanya hii ni Biashara,wakati hiyo ni dili. Hivi sasa kila mtu anajua mpaka bei ni kiasi gani,pipi uko vipi.yaani Kama ilivyokua kwa maalbino zamani ilikua mchongo wa selikari ila sasa tx yote albino pesa hakuna siri tena,madawa mayo hivyo hivyo
  5. hafidhio

    Picha: Mrembo wa Kitanzania aliyekamatwa na heroin China

    Kaka hakuna kitu kinacho itwa raw heroine. Naongea kitu ambacho Nina uhakika nacho kwa mda wa Miaka zaidi ya 15. Wengi wenu hamjui nini heroin,ila ukiona mtu kashikwa unataka kujifanya unajua. Kwanini atujiulizi kwanza ni Nani wanaleta madawa nchini kwetu? Kwa maana Tanzania ndio inaongoza kwa...
  6. hafidhio

    Picha: Mrembo wa Kitanzania aliyekamatwa na heroin China

    Vizuri sana Kama siku nyingine utauliza kwanza! Unga au heroin Sio Brown ni mweupe ambao unatokana na tunda au mti unaoitwa opium. Ambalo tunda Hilo usindikwa na ule utomvu wake huwa unga. Ili kuwa Brown watu wanachanganya na makemikali mengine ikiwemo sukari
Back
Top Bottom