Habari wadau niomba mnisaidie kuna mdogo angu amepangiwa chuo cha KCMC school of nursing.
Email aliyotumia wakat wa kuaply haifanyi kazi.
Naomba mnisaidie kwa yeyote alie karibu na chuo hicho au anaekifahamu anasaidie kunipa mwongozo ili mdogo wangu aweze kwenda chuo kwasababu hatujui ni wap...
Naomba kujua wenzangu waliopangiwa Chuo cha kcmc koz ya community health,Chuo kinafunguliwa tarehe ngapi ,nitawezaje kupata form ya Chuo nisaidien waungwana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.