Mara nyingi, mtu akikumbana na jambo ambalo hajaelewa au hajapata ujuzi wake, huwa na mwelekeo wa kulisema kuwa halipo au haliwezekani. Hii ni hitimishio lisilo na msingi wa kifikra, kwani ukosefu wa maarifa kuhusu jambo fulani haimaanishi kwamba jambo hilo halipo. Katika kitabu The...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.