Recent content by Habbyson

  1. H

    JamiiForums Tanzania Ni udhaifu mkubwa sana kumshambulia Ndugai ilhali aliomba msamaha na kutolea ufafanuzi kauli yake

    Hayo Ni maono yako usitulazimishe kuamini unachoamini wewe. Hii ndiyo faida ya mnafiki acha apate habari yake. Ni Bora mhe. Rais ameongea na watanzania wamejua shida ipo wapi tulijua Ni polepole peke yake kumbe wapo wengi nyuma yake Sasa mmoja baada ya mwingine anajidhihirisha
  2. H

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Wanaosema tusikope ni wale wanaotaka miradi ikwame wapate cha kusema

    Ukisikia utovu wa nidhamu ni huu. Mama piga kazi tupo pamoja Hawa wengine tutawanyoosha 2025.
  3. H

    JamiiForums Tanzania Video ya Mahubiri ya Askofu Mwingira yaondolewa mitandaoni

    Acha iondolewe mtu mzima Hivyo mbona kipindi cha JPM hakuthubutu kuongea upuuzi aliuvyata kimya
  4. H

    JamiiForums Tanzania Hii ya James Mbatia(NCCR), kuwapokea Madiwani wa CHADEMA waliojiunga CCM, imekaaje?

    Mwaka huu tutaona Kila kioja yangu macho ngoja tuone Mwisho wake hii ndiyo sayansi ya Siasa.
  5. H

    JamiiForums Tanzania Matokeo Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa Novemba 24, 2019: CCM yashinda kwa 99.9%, CHADEMA wapata Kijiji kimoja na Vitongoji 19, CUF nao Kijiji

    Kimara hakuna kupiga kura wagombea wote wa CCM wamepita bila kupingwa Hivyo wanasubiri kukabidhiwa Ofisi Jumanne.
Back
Top Bottom