Recent content by Gweny

  1. Gweny

    Natafuta kazi yoyote halali nipo Mbeya

    Hello JF family, Nina umri wa miaka 26 (mwanamke)nina cheti cha kidato cha 4, pia nina mtoto mmoja. Naomba mnisaidie nipate kazi ili nijikimu na mwanangu 🥹 maisha magumu sana. Nina kipaji cha kupika na ninapenda sana kupika. TIA
Back
Top Bottom