Recent content by gwemarika

  1. G

    JamiiForums Tanzania Ombi: Siku zilizotolewa kukamilisha mchakato watumishi Serikalini kufata wenza wa ndoa ziongezwe

    Kataika Tangazo la 24/09/2024 likilotolewa na Menejinent ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, lililotoka kwenye mfumo wa ESS Utumishi likitoa kibari Cha watumishi Serikalini kufata wenza ( uhamisho kufata mme au mke) kupitia Wakurugenzi wa Majiji, manispaa na halmashauli. Tunaomba muda yongezwe...
Back
Top Bottom