Hawa CCM kweli wamepoteza uwezo kuona uhalisia wa mambo. Fikiria mgombea wa CCM jimbo la Karatu 2010 alikuwa anajigamba kuwa atambwaga Dr. Slaa, kweli ni akili hiyo? Slaa na umaarufu wake tangu 1995 pale Karatu na mambo mazuri yaliyofanyika ya maendeleo ndani ya kipindi cha ubunge wake pale...
CCM mkome kuiba kura, pale ambapo uchaguzi ni jimbo moja upinzani unaweza kuweka nguvu yote kulinda kura, CCM haiwezi kushinda kamwe. Labda kwenye uchaguzi mkuu ambapo upinzani una uwezo mdogo wa kulinda kura nchi nzima
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.