Recent content by Gwalihenzi

  1. Gwalihenzi

    CHADEMA badilikeni kila siku tunawachangia pesa kwa mtindo huu

    Duh! Umenikumbusha haya manyau na babu yao Mohamed Said!
  2. Gwalihenzi

    Tamko la Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Dar es Salaam (DCPC) kumtaka Freeman Mbowe kuomba radhi

    Muongo mkubwa, hotuba ya mheshimiwa Bwege waliikata yote
  3. Gwalihenzi

    Tamko la Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Dar es Salaam (DCPC) kumtaka Freeman Mbowe kuomba radhi

    Haina unguli wowote, wamejaa waandishi wa kujipendekeza tu!
  4. Gwalihenzi

    Kwa Simulizi za Mwana JF, Maalim Mohammed Said, Sio Mtu wa Kubezwa, Mengine ni Ukweli Mchungu!, Ila Pia Sio Mtu wa Kupuuzwa!

    Mimi sina kundi hapa, unapojibu nijibu mimi na usinichanganye na mtu yeyote. Usiseme "ninyi" sema "wewe Gwalihenzi". Jibu hoja ya kurahisisha babu yako kuunga mkono makafiri dhidi ya muislam mwenzake mtwa Mkwawa! wewe muislam wa swala tano unaona ni jambo dogo tu au changamoto za ukoloni!
  5. Gwalihenzi

    Kwa Simulizi za Mwana JF, Maalim Mohammed Said, Sio Mtu wa Kubezwa, Mengine ni Ukweli Mchungu!, Ila Pia Sio Mtu wa Kupuuzwa!

    Changamoto za ukoloni zilimpofusha babu yako akaamua kuchangamana na makafiri dhidi ya waislamu wenzake! na wewe mjukuu wake unayeswali swala tano unaona nilo ni dogo tu na nisawa kabisa! au sheikh akipotosha historia unaona ni sawa kabisa na anastahili kuvumiliwa. Unaona raha sana kujikweza...
  6. Gwalihenzi

    Kwa Simulizi za Mwana JF, Maalim Mohammed Said, Sio Mtu wa Kubezwa, Mengine ni Ukweli Mchungu!, Ila Pia Sio Mtu wa Kupuuzwa!

    Kwamba kulikuwa na Tanganyika mwaka 1860 ni uongo wa kutosha ambao wewe unaushadidia kwakuwa umesemwa na Sheikh. Kwamba babu yako aliyetoka Afrika ya kusini na alitumika na Wajerumani kumuangamiza Mtwa Mkwawa ambaye alikuwa muislam mwenzake ni ukweli wa Historia ambao wewe hutaki kuusikia kwa...
  7. Gwalihenzi

    Kwa Simulizi za Mwana JF, Maalim Mohammed Said, Sio Mtu wa Kubezwa, Mengine ni Ukweli Mchungu!, Ila Pia Sio Mtu wa Kupuuzwa!

    Mohamed Said, hujawahi kuwa na hoja kwenye mjadala wowote, unachokiweza ni kujisifu na kujinadi tu. Wacha kupotosha Historia. Wacha kupandikiza uwongo na chuki zako.
  8. Gwalihenzi

    Kwa Simulizi za Mwana JF, Maalim Mohammed Said, Sio Mtu wa Kubezwa, Mengine ni Ukweli Mchungu!, Ila Pia Sio Mtu wa Kupuuzwa!

    Tatizo lako unaamini unaakili kuliko watu wote na hivyo unaamini kila unachoandika ni sahihi! ukweli hujui "Historical facts, unabeba opinions" na kutangaza kuwa wewe ni msomi uliyebobea! shit! wadanganye wasiokujua na wanaokuamini kama wewe unavyomwamini Shekh anayesema kulikuwa na Tangaanyika...
  9. Gwalihenzi

    Kwa Simulizi za Mwana JF, Maalim Mohammed Said, Sio Mtu wa Kubezwa, Mengine ni Ukweli Mchungu!, Ila Pia Sio Mtu wa Kupuuzwa!

    Mohamed Said, kwani hilo unaliona dogo? kwani kabla ya ukoloni kulikuwa na Tanganyika? kabla ya ukoloni wachaga, wanyamwezi, wazalamo, wamanyema, wamakonde, wahehe... walikuwa katika taifa moja? kwanini usizipe thamani taarifa sahihi za kihistoria? Kama watu weusi walikuwa wamoja kabla ya...
  10. Gwalihenzi

    Kwa Simulizi za Mwana JF, Maalim Mohammed Said, Sio Mtu wa Kubezwa, Mengine ni Ukweli Mchungu!, Ila Pia Sio Mtu wa Kupuuzwa!

    Mohamed Said, wanahistoria tunatakiwa kutofautisha "Historical facts na Historical opinions" wala wewe kumjua sheikh Zuberi hakuhalalishi udanganyifu unaofanyika katika historia.
  11. Gwalihenzi

    Kwa Simulizi za Mwana JF, Maalim Mohammed Said, Sio Mtu wa Kubezwa, Mengine ni Ukweli Mchungu!, Ila Pia Sio Mtu wa Kupuuzwa!

    Huyu haijui Historia. Mwaka 1860 hakukuwa na nchi iliyoitwa Tanganyika. Tanganyika iliundwa na Waingereza baada ya vita kuu ya kwanza baada ya kuivunja himaya ya wajerumani iliyoitwa "German East Africa".
  12. Gwalihenzi

    Unafiki wa wanaChadema kwa Chadema

    Sasa hapo wewe na makuli wa stand mnatofauti gani? umejaza vyeti wakati taaluma kichwani zero!
Back
Top Bottom