Haa kuwa wa kwanza ndo kumpa mzigo?duhh ? Umenichekesha, No please unaweza kuwa dating nyingi au just normal friendiship zisiwe na choices, unaweza ukawa na dating chache zenye muono chanya, siyo kila mtu achungulie VIP.
Lakini wadada wa siku hizi au wanaume, they fall in love like falling with...