Mimi sioni haja yakumlaumu na kumdhihaki Rais na wasaidizi wake.Yule ni kiongozi lazima aheshimiwe
1)kupokelewa na kupigiwa ngoma zile ni protocol Za kiongozi ndo maana hata Marais wa nchi rafiki walivyokuja kwenye misiba ya Marais wetu waliotangulia mbele y'a haki protocol zilifuata kukagua...
Kwanza mtoe maada unaonyesha dhahiri shahiri una chuki na husda na Fr kitima
1)Mchakato wa kumpata Askofu ni Siri may be anayejuwa cardinal na watu wake wa vetting je? aliyekuambia ni mmoja wa hao watu? Naomba jibu
2)Hakuna kiongozi wa dini yoyote anayekatazwa kuwa mshauri wa kiroho wa kiongozi...
Msiwe mnakurupuka vijana na viber za smart Askofu Nyaisonga ni miongoni mwa maaskofi genius nenda Kaengesa seminary ukapewe record zake(ndipo utavojiona mjinga mwenyewe)
Mabeberu wameweka mizizi yao hadi chumbani mwa nchi(kuna agent wa wabeberu) .so ukienda tofauti nao huwezi kusurvive yu wapi? Gadaffi,JPM na wengine wengi walioenda tofauti na mabeberu.nchi yulipata mwamba JPM tukamtukana na kumkejeli kwa matusi hadi baada ya kifo chake ambaye alijitolea kutetea...
Chonde wadau tusishabikie sanaa hili swala bali tumuombe Mwenyezi Mungu aingilie kati, DRC ameharibu sanaa kwanza aliaza kutuhumu mashirika yakimataifa kwamba yanachochea vita na uvunjifu wa amani DRC,Pili akamfukuza balozi wa Rwanda harshly wakati EAC ipo ndo mahali pakusemea, Tatu akaituhumu...
Zitto mama ake alikuwa mwenyekiti wa chama cha walemavu Tz na alikuwa mjumbe wa bunge la katiba hakuwa m2 mdogo kama unavyodhani may usemi Sugu ndo katoboa kwa juhudi binafsi
Unaweza kinipa mchango mmoja uliotolewa na walimu ambao unaonyesha kuwa upeo wao mdogo sana.
Naomba uelewe kuwa walimu wanatumika kwenye kazi nyingi za serikali kutokana na uwingi wao na utii wao katika kazi
Kwahiyo usione kundi la walimu au mwl fulani fulani katoa mchango kwenye ghafla ya...
Makamba is not only tough also is Giant
1)Amezaliwa kwenye chimbuko la siasa na amepita kwenye mikono ya wakongwe wa siasamf mzee mkapa na JK
2)Amefanya kazi kwenye mashirika yakimataifa yaliyofanya kazi nchini kama m2 wa serikali in blanket
3)Kafanya kazi ikulu kama msaidizi wa Rais na...
Ni kweli mf vyombo vya ulinzi na taasisi za serrkali posho na allawance zao zilizo nyingi zipo kwenye salary slip zao ndo maana ongezeko kubwa
Lakini watumishi wengine hasa Tamisemi ambao posho na allowance zote utalipwa na mwajiri wako ambaye ni mkurugenzi salary slip yako ina mshahara tu...
Acha kejeli kijana watu wanafanya kazi kwa uvumilivu wa dhiki sio uzalendo
1)wengi wetu tumetoka familia duni,huo ualimu ndo cheo kikubwa kwenye familia
2)ujasilia mali unahitaji mtaji na wakati mwingine unajionea wezio wanaofanya ujasiliamali wanavyonyanya kwa kubomolewa vibanda na kufukuzwa...
Utendaji bora wa JPM na Elimu ambayo aliimwaga kwa wananchi kuhusu mafisadi wanavyoitafuna nchi na baadhi yao aliwatumbua.Genge la wahuni according to polepole wamejaribu kumchafua JPM ili asahaulike mbinu zote zimegonga mwamba na mpaka sasa cap la JPM wanaliona hawana mbadala wanaishia ngonjera...
Mnataka serikali ya Ccm ikawanunulie mahindi mbolea ilikuwa hadi 140000 mfuko wa kilo 50 sasa na mvua haikuwa nzuri waliolima wamepata mavuno machache ulitaka wakuuzie bei ndogo ili wao wale hasara?.Mwakani njoo shamba ndo utajuwa karaha ya mkulima.Mwacheni mama afungue nchi na anaupiga mwingi...
Mama anatakiwa amshukuru Mungu kwa alichokipata kuna watz wametumikia taifa hili kwa weledi leo hii wana maisha magumu hata matibabu shida.Akumbuke huwezi kupambana na mali za ulimwengu hii vyote ni vya Mungu.wazungu wametuiibia Africa na wanajichotea hadi leo lakini rasilimali bado zimejaa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.