Recent content by guzu

  1. G

    Askofu Dallu: Marufuku shule za kanisa katoliki wanafunzi kuendelea na masomo baada ya kupata mimba

    wewe unaangalia mtazamo tofauti na kwako huamini kama kuna kitu huwa kinaitwa maadili.kama unaweza kuamini kuwa kupata mimba huku unasoma na ni mtoto ni sawa tu kweli we ni secularist hutambui mambo ya maadili.kila taifa lina maadili yake hata hao wazungu wanaoonekana hawana maadili wana maadili...
  2. G

    Askofu Dallu: Marufuku shule za kanisa katoliki wanafunzi kuendelea na masomo baada ya kupata mimba

    namejua nia yako ni kusema kuwa watoto waliopata mimba warudi shule. imani inakataza uzinzi na inapinga lakini si kwa namna ya kumshika mtu na kosa na kumuadhibu, ila kitendo cha kukataa kuwaadmit hao watoto unaonyesha wazi jinsi gani usivyokubaliana na jambo hilo la uzinzi. ukitaka kumsaidia...
  3. G

    Askofu Dallu: Marufuku shule za kanisa katoliki wanafunzi kuendelea na masomo baada ya kupata mimba

    hata kipind hicho walimchukuliaje?ni kwavile walijua ni mwana wa Joseph ndio maana ilikuwa afadhal alitakiwa kupigwa mawe mpaka kufa kwa kosa la kuwa na mimba kabla ya kuolewa. af ushasema mimba ilikuwa kwa uwezo wa Roho sasa kitakatifu kinazaliwa kwa uzinzi?so ingekuwa kama kipindi hcho tu.
  4. G

    Askofu Dallu: Marufuku shule za kanisa katoliki wanafunzi kuendelea na masomo baada ya kupata mimba

    kuwa mkristu na kuwa askofu hakukuondoi uafrika wako na imani ya kikristu haikatazi mtu kushika tamaduni isipokuwa zile zisizoendana na maadili ya kikristu.
  5. G

    Askofu Dallu: Marufuku shule za kanisa katoliki wanafunzi kuendelea na masomo baada ya kupata mimba

    wewe unaona kanisani na shuleni ni sawa?unajua maana ya kwenda kanisani na kwenda shuleni?je maana ni 1?unataka kusema kanisani watu wanaenda kufanya hayo ya shuleni?jifunze kufikiri mambo kiundani itakusaidia.
  6. G

    Askofu Dallu: Marufuku shule za kanisa katoliki wanafunzi kuendelea na masomo baada ya kupata mimba

    kuishi upendo ni kuruhusu wanafunzi wapate mimba shuleni?kemea uovu kwa gharama yoyote suala la msamaha na kukemea si maadui,tatizo unataka msamaha bila kukemewa kuwa jambo hilo si jema.kemea kwanza huo ndio upendo wa kwanza.
  7. G

    Askofu Dallu: Marufuku shule za kanisa katoliki wanafunzi kuendelea na masomo baada ya kupata mimba

    jifunze kujenga hoja juu ya mada iliyopo mbele yako. sioni kama umejenga hoja maana hakuna hata mantiki kwenye sentensi zako.
  8. G

    Askofu Dallu: Marufuku shule za kanisa katoliki wanafunzi kuendelea na masomo baada ya kupata mimba

    kila unapojaribu kuchangia jaribu kuitafakari hyo mada kiundani, tujaribu kujenga hoja na tuone amekosea wapi na si kuwa washabiki maandazi tu. kama askofu wa kanisa katoliki ana jukumu la kwanza kusimamia mafundisho na maadili akiwa kama mwalimu wa mafundisho ya imani. je kufanya ngono kabla ya...
  9. G

    Utafiti mpya waonyesha watu weusi sio watu halisi

    utafiti huo amefanya nani?mbona hauna logic?aliyeandika huo utafiti mbona ni kama hajui falsafa hata kidogo.sihitaji kusoma mara 2 ukoma huo usio na logic.
  10. G

    Prove me wrong;Ustaraabu ulianzia middle East

    nafikiri unahitaji kwanza kubadili mtazamo wako juu ya mambo hayo utaelewa hili. empty your box watu wafill hyo box usilete ubish wa kitoto.
  11. G

    Uhasama bungeni: Jumuiya ya wabunge wakatoliki yavunjika

    Kanisa haliogop mtu, kama kuna shida ya pekee litasema na kukosoa labda hakuna shida ya pekee. Sent from my LT29i using JamiiForums mobile app
  12. G

    Uhasama bungeni: Jumuiya ya wabunge wakatoliki yavunjika

    Nimesema kwenye comments zangu nyingi kuwa kuonywa mtu kuna fuata taratib fulan na busara za kichungaji pia hali ya kisiasa ya nchi kwa wakati huo, huwezi amka na kuita media ili umkosoe kiongozi je umeongea nae kwanza? Amesemaje? Akikataa baada ya maonyo waweza kwenda kwenye media, una uhakika...
  13. G

    Uhasama bungeni: Jumuiya ya wabunge wakatoliki yavunjika

    Kanisa liache kutegemea watawala?unamaanisha nini kiongozi wa kanisa au kanisa.kanisa haliwez kutegemea watawala kamwe maana watawala hawana nguvu juu ya kanisa ila labda kuna kiongozi anategemea msaada wa watawala ukisema kanisa unamaana kubwa sio kiongozi tu. Sent from my LT29i using...
  14. G

    Uhasama bungeni: Jumuiya ya wabunge wakatoliki yavunjika

    Sisi binadam hatuwez kumhukumu mtu kwa jambo lolote. Lakini kanisa halina sheria ya kumtenga mtu kupokea kwa kisa cha kisiasa kuna mambo huwez kuyachukulia hatua za namna hyo kwavle si ya kisakrament. Lakin pia inaweza tokea sana kanisa kunyamazia mambo hayo ila liombee kanisa lizid kuimarisha...
  15. G

    Uhasama bungeni: Jumuiya ya wabunge wakatoliki yavunjika

    Kuanzisha hyo jumuiya sio kosa, ni kwa nia njema kabisa na kila dini ina jumuiya yake pale bungeni, nia si mbaya. Kuna kitu kinaitwa utume wa walei katika hati ya mtaguso wa II wa Vaticano ili, kuinjilisha, kuleta amani, uelewano na kukuza roho ya mapendo kwa wengine kwa kuonyesha jinsi nyinyi...
Back
Top Bottom