Recent content by Guu la Tembo

  1. Guu la Tembo

    JamiiForums Tanzania Israel - Marekani: Ipi siri ya uhusiano wao usiochuja?

    [emoji122][emoji122]
  2. Guu la Tembo

    JamiiForums Tanzania Bandari na Usalama wa Taifa, Rais Samia hujui hata hili?

    Shida sio kubinafsisha..shida ni masharti ya mkataba...niambie huu mkataba mpya uta expire lini?
  3. Guu la Tembo

    JamiiForums Tanzania Uchunguzi: Ngono zembe inaharibu bahati na future

    Daah mwanangu ww kweli legendary....tujitahidi tutoke huko..japo ni ngumu...
  4. Guu la Tembo

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri jinsi ya kumuapproach aliyenitafutia kazi, nataka kuacha kazi

    Kwani mwanzo hukujua nature ya kazi yako??
  5. Guu la Tembo

    JamiiForums Tanzania Orodha ya waliokufa na wasiokufa angalia hapa kama una ndugu yako

    Ina maana hujui umuhimu wa namba za simu.....dini si kwa ajili ya kupata usahihi zaidi wa utambulisho wa mtu.
  6. Guu la Tembo

    JamiiForums Tanzania Punyeto: Mitazamo ya Uislam na Ukristo

    Tupe andiko mkuu linalosema mbegu zilizomwaga nje zina uwezekano wa kuanganishwa na roho chafu....
  7. Guu la Tembo

    JamiiForums Tanzania Punyeto: Mitazamo ya Uislam na Ukristo

    Biblia inasema usimtamani mwanamke asiye mke wako..kwa uelewa wangu mdogo hapo maana yake kumtamani mkeo kiasi hata cha kumpigia nyeto kama hampo pamoja sio dhambi.
  8. Guu la Tembo

    JamiiForums Tanzania Punyeto: Mitazamo ya Uislam na Ukristo

    Kwa hiyo mtu kumtamani mkewe wa ndoa kwa mujibu wako ni dhambi?
  9. Guu la Tembo

    JamiiForums Tanzania Punyeto: Mitazamo ya Uislam na Ukristo

    Mkuu umenena vyema sana...nami pia nafahamu nyeto ni dhambi kwa sababu hizo hizo ulizozitaja ww. Sema nina swali moja kwako....Vp kama mtu ameoa na yupo mbali na mkewe...na akaamua kupiga nyeto kwa kumvutia hisia (Kumtamani) mke wake wa ndoa.....hapo punyeto yake itahesabika ni dhambi au siyo...
  10. Guu la Tembo

    JamiiForums Tanzania Punyeto: Mitazamo ya Uislam na Ukristo

    Mkuu nadhani point kubwa ya Yesu hapo ilikuwa sio kutazama...point ni kutamani kuzini naye.....sasa kinachofanyika ktk nyeto...kule kuvuta hisia si ndo huko huko kutamani?...na ukumbuke nyeto inahusha uvutaji wa hisia tofauti tofauti...ikiwemo hiyo ya kutamani kuzini na mwanamke fulani
  11. Guu la Tembo

    JamiiForums Tanzania Punyeto: Mitazamo ya Uislam na Ukristo

    Katika mazingira hayo umeshauri ufunge kupunguza hamu
  12. Guu la Tembo

    JamiiForums Tanzania Punyeto: Mitazamo ya Uislam na Ukristo

    Nyeto ni dhambi katika muktadha wa kwamba ni lazima ihusishe fikra ya kumtamani mwanamke hata kama ni kwa imagination tuu!...sasa Yesu katika biblia aliwahi kusema "Amtazamaye mwanamke kwa kumatamani tayari kiroho inahesabika amekwisha zini naye"...sipo deep sana kwenye neno hivyo nimeshindwa...
  13. Guu la Tembo

    JamiiForums Tanzania Kumbe kumwaga chini mbegu ya uzazi, ni kosa kubwa sawa na kuua!

    Nyeto ni dhambi mzee...kumbuka mkuu Jesus maneno yake..."ukimtamani tuu mwanamke asiye mke wako tayari umeshazini naye".. kwa hiyo wale wanawake woote mtu anaokuwa ana wa imagine kwenye nyeto...kiroho inahesabika ameshazini nao
  14. Guu la Tembo

    JamiiForums Tanzania Fahamu madhaifu makubwa ya wanawake, unayoweza kuyatumia kumpata bila nguvu kubwa!

    Mzee kuhudumiwa na mwanamke sio tamaduni zetu ki Africa...na sio kitu cha kuwa proud nacho hadharani
  15. Guu la Tembo

    JamiiForums Tanzania Uchunguzi: Ngono zembe inaharibu bahati na future

    Nikirejea maandiko ya bwana Jesus..nadhani mustarbation nayo ni uzinzi sababu Yesu alisema kumtamani tuu mwanamke hapo ni tayari ushazini naye kwenye ulimwengu wa kiroho... Kwa hiyo hao wanawake woote unaowafanyia imagination wkt wa puli...ni tayari umefungamana nao kiroho bila ww...
Back
Top Bottom