Recent content by GUSUGUSU

  1. G

    Hivi Zanzibar kuna huduma kama ya dada zetu wa Corner Bar?

    Sexworkers wapo everywhere, utofauti ni business model wanayotumia, Unguja ni mji usiokuwa strictly sana na dini, sababu ya mchanganyiko na utalii. Dada poa wapo wengi sana hapo CCM..Maisara na Bar moja ya jeshi ipo jirani na Maisara, na wengine unafanya bookings wanakuja ulipo kama ni hotel au...
  2. G

    Naomba kujua kuhusu safari ya Dar kwenda Dodoma kwa pikipiki

    Mambo ya muhimu ni haya yafuatayo kama utaamua kusafiri na pikipiki: 1-Hakikisha unafanya service nzuri kabla ya safari kama vile, kumwaga oil, tyres, brakes, n.k 2-Hakikisha bike ina side mirrors maana ukiwa high way ni ngumu kuona gari ndogo ikiwa inakuja kwa mbali kwa kasi..kuna gari...
  3. G

    Naomba kujua kuhusu safari ya Dar kwenda Dodoma kwa pikipiki

    Hiyo Safari inawezekana kabisa ikiwa tu unapenda adventure. Kama ni Muoga ni vyema ukaipakiza kwenye lorry
  4. G

    Digital Photography Course

    Karibu Mafunzo yapo Kila mwezi
  5. G

    Digital Photography Course

    Jiunge na MAFUNZO ya UPIGAJI PICHA kitaalamu (DIGITAL PHOTOGRAPHY).Tunapatikana KAWE-DAR ES SALAAM. Mafunzo yanaendeshwa kwa lugha ya KIINGEREZA na KISWAHILI. Pia Gharama za mafunzo ni Nafuu na Utafundishwa masomo yafuatayo; 1-Introduction to Photography 2-Photography Careers 3-Camera Reviews...
Back
Top Bottom