Recent content by Gussi

  1. G

    JamiiForums Tanzania Nakutafutia spea ya gari aina yoyote mpya au used, na kukufungia bure

    Nashukuru wana jf kwa kunielewa maana tayari nimeshafanya biashara na baadhi yenu, kikubwa kilichonifanya nirudi hapa ni kwamba nilikuwa sijaeleza vitu vingine ninavyoweza kufanya, ni kwamba kama una gari aina yoyote unataka kuisafirisha nipo tayari kufanya hivyo, kwani ni siku chache tu...
  2. G

  3. G

    hapana mkuu najitahidi kuwajibu wote walioniagiza kwa kuwa pm, ila wakati mwingie sipatikani hapa kwani kazi zangu ni za kuzunguka.
  4. G

    JamiiForums Tanzania Nakutafutia spea ya gari aina yoyote mpya au used, na kukufungia bure

    hapana mzee hiyo siwezi
  5. G

    JamiiForums Tanzania Nakutafutia spea ya gari aina yoyote mpya au used, na kukufungia bure

    Jamani mimi bado mgeni kwenye jf kwa hiyo wakati mwingine naweza nikachanganya mambo humu naomba mnielewe tu, kuhusu spea zote mnazozihitaji mtapata majibu j3 na naamini kila mtu atapata spea anayohitaji, naomba kama mtu anahitaji maelezo anipigie au anitext nitamjibu kwa wakati, asanteni kwa...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Nakutafutia spea ya gari aina yoyote mpya au used, na kukufungia bure

    jumatatu mkuu, naenda bei ya spea na hiyo body nitakujulisha, karibu
  7. G

    JamiiForums Tanzania Nakutafutia spea ya gari aina yoyote mpya au used, na kukufungia bure

    Ni fundi wa magari aina zote mkuu!
  8. G

    JamiiForums Tanzania Nakutafutia spea ya gari aina yoyote mpya au used, na kukufungia bure

    Ni kweli mzee sijajibu kwa wakati kutokana na mizunguko ya kutafuta spea, kwa hiyo wakati mwingine nashindwa kufanya kwa wakati na ndio maana nikaweka namba ya simu ili kurahisisha unaweza hata kunitext tu, karibu
  9. G

    JamiiForums Tanzania Nakutafutia spea ya gari aina yoyote mpya au used, na kukufungia bure

    Nitakujulisha j3 mzee si unajua kesho jumapili maduka yanafungwa.
  10. G

    JamiiForums Tanzania Nakutafutia spea ya gari aina yoyote mpya au used, na kukufungia bure

    sawa mkuu, kesho jumapili maduka mengi ya spea hufungwa, nakuahidi mpaka saa tano nitakujulisha bei yake, karibu!
  11. G

    JamiiForums Tanzania Nakutafutia spea ya gari aina yoyote mpya au used, na kukufungia bure

    usijali nibeep nitakupigia
  12. G

    JamiiForums Tanzania Nakutafutia spea ya gari aina yoyote mpya au used, na kukufungia bure

    tuwasiliane mzee bila shida nitakupa maelekezo
  13. G

    JamiiForums Tanzania Nakutafutia spea ya gari aina yoyote mpya au used, na kukufungia bure

    Asante kwa ushauri, nitafanya hivyo
  14. G

    JamiiForums Tanzania Nakutafutia spea ya gari aina yoyote mpya au used, na kukufungia bure

    Mimi ni muuzaji wa spea za magari na ni fundi wa magari, kwa sasa sina duka ila nafahamu sehemu nyingi ambazo zinauza spea aina tofauti za magari na nazijua aina nyingi za spea, hivyo nitakushauri na kukufungia mwenyewe ili kuondoa utata wa kufaa au kutofaa kwa spea husika ( nitafanya hivyo kwa...
  15. G

Back
Top Bottom