Recent content by Gurungusha

  1. G

    Hatutaki elimu ya bure ya Lowassa...

    Mkuu, Amini Usiamin, Unalolisema Hulifaham Vizuri. Ungefuatilia Vizur Ndo Ukaleta Hoja. Cjaelewa Nn Kusudio Lako La Kupinga Elimu Bure? Au Umeona Kuna Tatizo Katika Elimu Hiyo Ya Bure?
  2. G

    Kupiga kura ni haki au ni nafas ya kupiga kura????

    Nahisi Neno Haki Lisitumiwe Hapo. Maana Mimi Ntaikosa Hiyo Haki. Na Kama Naikosa Haki Yangu Ya Msingi Ndani Ya Nchi Yangu Mwenyewe Ntaipata Wapi Kwingine? Au Kuhamasishwa Kuandikishwa Kote Huko Ili Nipate Kitambulisho Cha Kutembelea? Sijaelewa Na Sielewi Kwa Nini Wahusika Hawanieleweshi...
Back
Top Bottom