Recent content by Gurtu

  1. G

    JamiiForums Tanzania Fikiri kwa kina kabla ya kuitisha press conference kama matamshi yako yatawaleta pamoja au yatawagawanya

    Kurukaruka kwa maharage ndo kuiva kwake
  2. G

    JamiiForums Tanzania Tuliposema mazao yasiuzwe nje hatukueleweka, sasa hatuna cha kufanya!

    Madalali ndiyo waliopo na serikali hainunui, sasa ukimlaumu afanye nini?
  3. G

    JamiiForums Tanzania Tuliposema mazao yasiuzwe nje hatukueleweka, sasa hatuna cha kufanya!

    Kwani wakiuza kuna shida gani? Waliyalima wenyewe halafu mnawapangia wafanye nini?
  4. G

    JamiiForums Tanzania Tuliposema mazao yasiuzwe nje hatukueleweka, sasa hatuna cha kufanya!

    Hata hiyo bei ya madalali ni ya juu kuliko ya serikali.
  5. G

    JamiiForums Tanzania Tuliposema mazao yasiuzwe nje hatukueleweka, sasa hatuna cha kufanya!

    Hiyo ni kweli. Mtu anawaza mchele usiuzwe nje, kwani mtu wa ndani alizuiwa kununua? Au ni hii tabia ya kuwadharau wakulima? Tunawazuia kuuza mazao yao nje ya nchi penye bei nzuri halafu wanaenda kununua vitu vingine kama sukari, majani ya chai nk. kwa bei wauzaji. Kwanini mkulima asiuze mazao...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Aibu: Vyombo vya Habari nchini kwa makusudi vyapotosha alichokisema Dkt. Slaa kwenye Mkutano wake na Waandishi wa Habari

    Hizo walipewa hivyo hivyo bila wao kufanya chochote cha ziada.
  7. G

    JamiiForums Tanzania Aibu: Vyombo vya Habari nchini kwa makusudi vyapotosha alichokisema Dkt. Slaa kwenye Mkutano wake na Waandishi wa Habari

    Kama Mtanzania. Kwani wewe hapo unaongea kama nani?
  8. G

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alipozuia chakula kisiuzwe nje mlikebehi, sasa mmeonja joto ya jiwe na kusalimu amri

    Atuambie na bei yake ya kununulia. Serikali haina tabia ya kununua mazao ya wakulima kwa bei ya kuridhisha.
  9. G

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashe anajisikiaje baada Rais kupiga marufuku chakula kuuzwa nje ya nchi? Ni busara akaachia ngazi

    Kwa ukweli Tanzania kila siku sera zake zinabalika utafikiri hali ya hewa.
  10. G

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashe anajisikiaje baada Rais kupiga marufuku chakula kuuzwa nje ya nchi? Ni busara akaachia ngazi

    Tunafurahia mazao kutokuuzwa nje ya nchi ili wakulima wetu wafilisike? Mbona vitu vingi tunauza nje na hakuna tatizo? Mbona Tanzania inanunua nguo kutoka nje badala ya kutumia pamba na hakuna tatizo? Mimi siungi mkono zuio la mauzo ya mazao nje ya nchi kwa sababu soko la ndani linawahujumu sana...
  11. G

    JamiiForums Tanzania January Makamba: TANESCO sasa wamesitisha miradi ya ujenzi wa maofisi na kuelekeza fedha kukarabati miundombinu ya Ugavi

    Hiyo scheduled repair inanyika wapi na saa ngapi? Huu ni uhuni tu kuzungumzia mambo jumla jumla. Umeme unakatika muda usioleweka na na ukipita mitaani huwaoni hao wanaofanya scheduled repairs? Waziri uwaambie TANESCO waweke tangazo kwenye magazeti yenye kuonesha ratiba ya Scheduled repair...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Wamiliki wa mabasi fursa mmetengenezewa hiyo hapo chukueni hela

    Kwa mfano, mpokeaji anakuwa yupo Mbeya na mlipaji yupo Dar. Mnakubaliana muda wa mtuamaji kufika kwa Wakala wa Dar na muda wa mpokeaji kufika kwa wakala wa Mbeya na kutumia vielelezo na kama picha ya mtumaji na mpokeaji, miamala inafanyika kama kawaida.
  13. G

    JamiiForums Tanzania Kodi mpya za miamala: Mahakama iweke zuio la haraka

    Wanasheria wanasimamia kesi. sisi wananchi ndo tunatakiwa kuwaambia kufungua kesi.
  14. G

    JamiiForums Tanzania Kodi mpya za miamala: Mahakama iweke zuio la haraka

    Ngoja tuhamasishe mgomo kwa siku moja ili tuone. Je? yale malipo ya serikali ambazo tunayolipa kwa njia ya M-Pesa nayo yanakatiwa kodi?
Back
Top Bottom