Recent content by Gurder

  1. G

    JamiiForums Tanzania Posho ya madaraka kwa walimu

    Ni kweli kabisa ila kiwango cha posho hakijaainishwa wala ngazi ya elimu, mimi waraka nimeuona na nimeusoma.
  2. G

    JamiiForums Tanzania Gari ipo sokoni

    bei ya mwisho ni sh ngapi?. je gari ipo mkoa gani?
  3. G

    JamiiForums Tanzania Biashara kutoka China

    Ndugu zangu naomba yeyote mwenye uzoefu na bidhaa za stationary kutoka China anijuze, nina millioni kumi, na kuna mtu kaniambia naweza fanya hiyo biashara na nikapata faida kubwa zaidi.Nimeshapata stationary kumi, ambazo ni kubwa na wanahitaji niwe nawazambazia vitu kama madaftari,penseli na kalamu
Back
Top Bottom