Recent content by Gumasa

  1. Gumasa

    Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Mimi siyo chawa, wala sihitaji na wala sina maslahi yoyote katika kusema huu ukweli wangu. Ukweli kabisa Rais Samia ni mama muungwana sana,ifike mahali tukubaliane tu. Kwa sisi watu wa kanda ya ziwa ilifikia mahali tukawa kama hatumuelewi,kumbe watendaji wake ndiyo wanamwangusha na malengo yao...
  2. Gumasa

    Tujadiliane juu ya ugonjwa unaokusumbua na namna ulivyopambana kuukabili mpaka sasa

    Hiyo ni id yake hapa jamii forum.Tafuta Baba Vladmir anapenda sana kuandka kwnye mambo ya tiba za asili
  3. Gumasa

    Tujadiliane juu ya ugonjwa unaokusumbua na namna ulivyopambana kuukabili mpaka sasa

    Mtafte Baba Vladmir alinisaidia sana.Nshkuru mungu nina amani sasa,hii tatizo ni hatri mno
  4. Gumasa

    Nina samaki aina ya sato, nipe soko

    Weka order yako kuanzia piece 100 nitakuletea!
  5. Gumasa

    Nina samaki aina ya sato, nipe soko

    Samaki hao hapo
  6. Gumasa

    Nina samaki aina ya sato, nipe soko

    Yeah! Wewe soko lako kilo moja ni bei gani
  7. Gumasa

    Nina samaki aina ya sato, nipe soko

    Bei ni maelewano ya wawili kulingana na soko la wakati. Kama unahitaji tunayajenga private au unataka tuyajenge hapa hapa hadharani??
  8. Gumasa

    Nina samaki aina ya sato, nipe soko

    PC moja ni samaki mmoja.Kwa size ya samaki wa nyavu ya nchi 4.5 wanaingia 2 katika kilo moja.Bei ya pc ni maelewano kulingana na soko lako au kama utahitaji kwa kilo napo ni maelewano.Mzigo nashushia mwanza baada ya makusanyo kutoka mialo mbalimbali ya ziwa victoria
  9. Gumasa

    Nina samaki aina ya sato, nipe soko

    Nipo Mwanza,lakini sato nawakusanya kutoka sehemu mbalimbali ya mialo ya Bukoba,sengerema na kyelwa
  10. Gumasa

    Nina samaki aina ya sato, nipe soko

    Hawa ni sato saizi ya kati ambao katika kilo moja wanaingia 2
  11. Gumasa

    Nina samaki aina ya sato, nipe soko

    Habarini za majukumu ndugu wadau wa JF. Ninafanya biashara ya kuuza samaki aina ya sato. Size ya samaki wanaopatikana kwa wingi kwa sasa ni wale wanaovuliwa katika nyavu ya nchi 4 mpaka nchi 4.5. Kama kuna mdau anafanya hii biashara ya samaki mahali popote na angependa kupata mzigo kutoka...
Back
Top Bottom