Recent content by Gullam

  1. Gullam

    GE2020 Omary Kumbilamoto atoboa siri za CHADEMA kuhujumu Miradi ya Awamu ya Tano

    Umechemka huyo alikuwa meya msaidizi kutokea CUF.
  2. Gullam

    GE2020 Kwa muelekeo wa hotuba ya Lissu CHADEMA hakiwajui Watanzania kinaweza kisipate hata nusu ya kura ilizopata 2015

    Hongera inaonekana wewe ndio unawajua watanzania, wote umewalea wewe!!
  3. Gullam

    Ubalozi wa Marekani: Mbowe ameshambuliwa kikatili, wakumbushia pia shambulio la Tundu Lissu huku kukiwa hakuna hatua zilizochukuliwa

    Kwahiyo kwa akili yako, unataka kuifananisha USA na hii shit hole country? Au una maana tofauti?
  4. Gullam

    GE2020 Wanaodhani Rais Magufuli hatashinda kihalali wanajidanganya

    Wewe unaweza ukawa chizi, kwahiyo wewe ndio umepewa kazi ya kuitisha kura ya maoni?
  5. Gullam

    MwanaCHADEMA aliyepigwa tofali na wanaCCM miaka 7 iliyopita apata matatizo ya kiafya. Aden Rage, Jaffo na Marry Chatanda wakamatwe

    Wekeni utaratibu wa kumchangia hela na akapate matibabu mazuri. Hapa suala ni kuungana na kuona umuhimu wa kila mpigania demokrasia.
  6. Gullam

    TAKUKURU wanatumiwa na CCM kucheza Mind Game kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Wabunge? Una maana gani? Kwani machozi ya wabunge ndio yenye thamani sana, au wenyewe ndio wanauchungu sana? Sasa nakufundisha mtu, yeyote anaekimbilia kulia kabla ya kujieleza ni muongo, mnafki, na mpigania tumbo lake. Machozi hayabadilishi chochote kutoka uongo kuwa ukweli, au kinyume chake.
  7. Gullam

    Serikali ilimtunzia heshima Mbowe hakuitunza, ilikuwaje ahutubie Taifa? alete mkanganyiko wakati wa Corona?

    Kwa akili zako ndogo, hata hujui kuwa waliokuwa viongozi wa TFF walishatoka jela ? Na kumbe hujui zile kesi zilikuwa za kulipiza kisasi, kutoka utawala B kwenda utawala A!!! Poleni sana, maana kazi yenu ni kusubilia Jiwe ameagiza nini na nyie mshangilie.
  8. Gullam

    Mlioikopesha hela Chadema mna leseni za kukopesha ? Riba mnayopata mnalipia Kodi TRA?

    Hao mnaoendaga kuwakopa hela mitaani, Tena kwa riba kubwa huku mkiwekeza magari na hati za nyumba zenu. Wana leseni ya kukopesha kutoka BOT au wanalipa kodi TRA?
  9. Gullam

    Acheni kumtetea Mbowe na tuhuma za ufisadi wake, kila mtu abebe msalaba wake!

    Nanukuu kauli ya Mh Peter Msigwa " kumchukia tajiri, hakukufanyi wewe maskini kuwa tajiri" najua mawakala wa shetani mmeagizwa kushapulia kitu cha hovyo, kuwa Mwamba eti amekula hela za Chadema. Subilini tu, muda ndio rafiki wa kweli.
  10. Gullam

    Pigo takatifu dhidi ya Chadema muda huu

    Tayari ushafungua thread hapo, Ila kweli akili za mbayuwayu!!
  11. Gullam

    Orodha ya yanayoweza kuwa mashtaka ya Mbowe na wenzake

    Kumbe na wewe akili yako ndogo sana!! Itabidi ni kublock kabisa.
  12. Gullam

    Majibu yaliyotolewa leo na CHADEMA, ni ushahidi tosha kuwa hela zimepigwa

    Zinakuuma Sana? Mbona hatujakuona kuzungumzia T 1.5 alizoiba jiwe, na kuzipeleka Rwanda? Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
  13. Gullam

    Chadema imekosa hoja za kupambana na CCM na kwa mantiki hii wamekubali matokeo mapema

    Hahahahaaaaah, kweli wewe hamnazo!! Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom