Recent content by Guitarbenny

  1. G

    Waliofeli Form Four kurudia mitihani bure mwaka huu?

    Ni kweli yatizo ni knowledge na yote imetokana na kuporomoka hali ya maisha na uchumi;ndipo hapo uchumi wa mwalimu unapokua duni ari ya kufundisha itatoka wapi?pia mzazi nyumbani maisha magumu kujikimu,vifaa vya mtoto shule;ada;michango;tuition;nauli za basi kwenda na kurudi shule ni mzigo kwa mzazi
  2. G

    Mawaziri hawa ni Mzigo kwa Serikali!JK aliwachagua vp?

    Mawaziri.Sokoine;Mrema,Dr Salim,Sitta;MagufuliNaMwakyembe.HayoMajembe!!!sijui vipi inakua ngumu kwa wengine kufuata humo
  3. G

    Bunge Lisirushe Matangazo yake 'LIVE' - Nape

    Nape Basi kipindi cha bunge kirushwe live kuanzia saa 1 usiku hadi 6 watu wanakua wapo majumbani si ndio?
Back
Top Bottom