We ulieuliza kuhusu Gaucho naona ulitaka tu kubishana na watu. Wenzio wanauliza vitu ambavyo hawavifahamu, sasa ww unauliza huku una majibu yako.
Gaucho alifunga magoli mengi ya freekick. Ingia youtube utayaona hata faulo mbazo hakuna mchezaji mwengine aliyefunga. Na timu zote alizochezea yy...
Ukiona hivo huwez kuwithdraw kwa njia iyo ya mastercard za mitandao ya simu. Nnavojua wabongo km ingekuwa inawezekana kuwithdraw kwa izo master card za mitandao ya simu, saiv wengi wangekuwa wanatumia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.