Kama huyo Nnauka kweli ana utimamu then kwanini yupo CCM? Kwa nini yupo kwenye chama ambacho ukikikosoa asubuhi crusier nyeupe inakuja kukubeba unapotea?
yupo hapo alipo kwaajili ya maslahi binafsi na amefanikiwa.
Hayupo kwaajili ya kutumikia watu wa haki na uwajibikaji.
Hana tofauti na...
Kichwa cha huu uzi kinapotosha
Context ya Sweden kusitisha bilateral cooperation ni kwa sababu pesa zinaenda kufund Ukraine war.
Hao Russia na sweden wapo wanajibizana kuhusu vita ya ukraine na Russia na sio kuhusu matamko ya mabolizi kuhusu serikali ya TZ
Unajua maana ya siasa?
Siasa sio mikutano ya hadhara au kampeni.
As long as unapumua basi upo unafanya siasa, na kuzuia siasa maana yake ni kuua watu.
Kama wanachoendelea kukifanya CCM, kuteka na kuua.
oct 29 ilikuwa vita kati ya serikali na wananchi, serikali iliuona ukweli kwamba almost wananchi wote wapo against serikali, iliona almost wananchi wote wanataka mapinduzi, basi seikali ikaamua kuingia barabarani na mitaani kushoot mwananchi yeyote watakae muona mbele yao. Hawakujali nani ni...
Nani anachochea moto? katoliki?
Katoliki wanaongea ukweli, kuongea ukweli ni kuchochea moto?
Ungependa wakae kimya, wasiongee?
Mtu mwenye utu na uwezo wa kufikiri hawezi kukaa kimya kuacha yaliyotokea yapite, ni yule tu aliyesaliti Utu wake anaweza kuona kilichotokea ni sahihi na kuacha kipite...
Unadhani katoliki kupaza sauti juu ya yaliyotokea kuna faida wanapata? Nope, zaidi wanajiweka pabaya na serikali na bado wamechagua kuongea, wamechangua kusimama na majority wananchi.
Uliyosema hapo juu ni propaganda ambazo serikali na chawa wa CCM wamekulisha.
kaa chini utafakari
Mi ni KKKT, ila nimetokea kuwa kuikubali na kuheshimu Katoliki. wanasimama kwenye ukweli, hawaogopi wa hawasiti kuongea.
Taasisi zingine za kidini zipo tu hapa kukusanya mapato sadaka na kuombea utulivu ili wanendelee kukusanya. hawajaribu kusema ukweli juu ya kinachoendelea. shame.
Maoni yako ni yapi? kwamba it's okay watu kupigwa headshots kwa sababu waliandamana?
Utasema walifanya wizi na kuharibu mali, mwizi asiye na bunduki inabidi apigwa headshot?
Haya ndo unayaita maoni tofauti?
Unalipwa bei gani kuusaliti utu wako, CCM wanakupa shi ngapi, million? Billion?
kitu pekee kinachokufanya uwe Mtu ni uwezo wa ku-think, umegoma kuthink, umekuwa mbwa wa CCM
No. Ndoa ni bond na msingi wake ni upendo, compassion love + erotic love + agape love, na upendo wa namna hii unatokea kwenye pair, ikishakuwa kuwa zaidi ya watu wawili basi huwezi kubalance, sababu ni wivu na attention, lazima kuna wawili wataform strong bond na wengine watahisi wameachwa nje...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.