Recent content by Grick

  1. Grick

    Maajabu: Nchimbi agoma kumwekea ulinzi Mwakyembe, agoma kuzungumzia wauza unga

    Hakuna mwenye nia ya dhati ya kupambana na hawa Wauzaji wa unga(Drug dealers) hizi ni biashara za wakubwa kwa hiyo inahitajika nguvu ya ziada kupambana na huo mtandao,,, la sivyo itakuwa upigaji wa kelele usio na msingi.. Huu ni mtandao mpana sanaaaa.
  2. Grick

    Mbowe sasa avuka mipaka, afanya matumizi ya gari la serikali kwa shughuli za CHADEMA

    mbona fast jet anatumia gar za serikali kwa shughuli kichama?acha kuwa na fikra finyu... nafikuri jf ni kwa ajili ya kujadili mambo ya msingi kwa maendeleo ya Taifa.
  3. Grick

    Taifa Letu hili..embu ona

    Taifa Ambalo Raisi wake hajui kwa nn ni Maskini ilhali liba utajiri kibao wa Maliasili
  4. Grick

    SUGU mbunge wa Mbeya mjini, timiza uliyowaahidi wananchi

    Safiii sana mheshimiwa Joseph Mbilinyi
Back
Top Bottom