Recent content by Grevic Jos

  1. G

    Selection za TCU third round

    TCU 3rd Selection zimetoka.angalia via www.tcu.go.tz nenda Selected Applicants 2013/14. Wameyaingiza ktk database tayari!!
  2. G

    Is this a reason why u ddnt secure a loan?

    DUUH!NI KWELI NDUGU,lakini wafanyacho wao ni kufuata miongozo waliyopewa kuhusu ugawaji wa mikopo.TATIZO LINAKUJA KUWA NI ZILE KANUNI zinazowaongoza Hazitambui "some"cases kama hizo ulizoandika! Ila dah,POLENI SANA, dont lose hope my bro&sisters!
  3. G

    Mishahara

    nenda kwa mwajiri wao yaani Mkurugenzi wa halmashauri husika.. Kwakuwa ndani ya hao wenye #vyeti # pia kuna madaraja tofauti na wana mishahara tofauti.same applied to dipl
  4. G

    Heslb vifo

    Wewe umeona!mimi cjaona sasa nitaamini kivipi#maneno yako c kama ya kwenye bible ambapo ninayaamini japo sikuyaona matukio yaliyoelezwa mule.....Bhado nina sita sita kuyaamini !j
  5. G

    hiii imekaaje loan board

    UMEWAFANYEJE HATA NA WEWE WAKUNYIME? Au umesoma shule za mamilioni toka prmy to advance?
  6. G

    ndo nimekosa mkopo au?

    MUNGU AMEKUWEZESHA UCJISIFU.HEBU WAPE NA WENZAKO HIZO MBINU MBBADALA......!za kuyakabili maisha ya chuo bila mkopo.
  7. G

    Majina ya Waliopata Mikopo ya Elimu ya Juu 2013/2014 HESLB yatoka, Billion 306 zatengwa

    Hapo nadhani kwa kozi unayosoma haina field kwa mwaka huu husika wa mkopo.thus y...coz kwa koz yangu M.D nimewekewa iyo 0 na hata ktk prospectus ya chuo wame indicate hivyo yaani 0
  8. G

    Nataka kuahirisha mwaka wa masomo.

    Wakati wengine wakilia nilishtuka saana kuona mtu kapewa Total ya mkopo 6.12mill. Daaaah!wakati wa kurejesha sasaaa! Ni kiputee.
  9. G

    Heslb vifo

    info hizo ni kwa mujibu wa source ipi ya kuaminika? ILa kiukweli Inashtusha sanaaa!
  10. G

    Continuous Applicant aliepata mkopo 2013/2014

    ila wakati wanatangaza walisema kuwa for those ambao ni first time wamewaunganisha form six pamoja na ambao wako tayari vyuoni ila ni kwa mara ya kwanza kuomba/hawakupewa ktk miaka iliyopita.#wamewa group pamoja#source pitia lile tangazo lao heslb.
  11. G

    ndo nimekosa mkopo au?

    Secure means fasten/fix or protect something/free from loss/danger. Kwakuwa umeandikiwa didn't secure.bhas it means hukuweza ku#wa free from loss#means ume kuwa in danger!Kwa ufupi UMEKOSA ..nimejaribu!!
  12. G

    sekomu

    we wa mkoa gani??kama huko umezoea kuvaa vest.jiandae kuvaa koti ..!ni mazingira ya kawaida tu!nilisoma pale advance yangu kipindi cha likizo zote.!
  13. G

    ndo nimekosa mkopo au?

    Poleni sana!unajua maana ya ku #secure #?kama unaifahamu basi ipachike hapo.
  14. G

    ndo nimekosa mkopo au?

    Poleni sana!unajua maana ya ku #secure #?
Back
Top Bottom