Tatizo ni Tume imefanya kazi kwa kulenga kuharibia watu fulani lakini hawakupanga karata zao sawasawa na kujikuta wamemnasa Kawambwa vizuri yaani hapa hafurukuti anapumulia mashine. Lukuvi alipewa kusoma tu mapendekezo ya Tume
Matokeo ya Kidato cha Nne yaliyotangazwa na Dkt Shukuru Kawambwa yatafutwa kutokana na uchunguzi uliofanywa na Tume ya Pinda kubaini kuwa waliwekewa viwango vya juu sana kuliko ambavyo vimekuwa vikitumika miaka yote. Kwa hiyo Baraza la Mitihani litaelekezwa kuyafuta na kutoa upya kwa kutumia...
Wadau gazeti la Raia Mwema lililotoka wiki hii linaonesha kuwa Tume ya Waziri Mkuu imeshamaliza kazi yake na kwamba mapendekezo yaliyotolewa ni kufutwa kwa matokeo yote ya Mtihani wa Kidato cha Nne 2012 na kutoa matokeo mapya ambayo watahiniwa wengi zaidi watafaulu. Naomba kujua kama hizo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.