Kama hili jambo ni la kweli ...sijui nchi yangu inaelekea wapi ,kwa miaka mingi hawa watu wamekua wakifanya mahojiano kwenye vipindi mbalimbali na watu wengi wakubwa wa serikali kama wanahabari .....sasa je mamlaka hizo za habari hazikuwahi kujua kuwa watu hao sio wasomi na hawajasajiliwa...
Kama uko karibu na estate kubwa ya kuchakata mkonge unaweza uza hapo, ama kwa wamiliki wa mashine ndogo ambao wapo karibu yako pia wote wananunua mkonge .......morogoro uko sehemu gani ?
Asante sana, kwa kununua brush(fiber) mtaji bado uko chini kidogo ndugu na kwa upande wa kulima mkonge inawezekana kwa mtaji huo ,ikikupendeza pia unaweza kufika site ili kupata maarifa ,kujionea fursa nyinginezo kwenye mkonge na pia kujifunza zaidi kwa vitendo .......karibu sana.
Habari wanajamii forum ,mimi ni mdau wa muda mrefu sana ndani ya forum hii lakini nikiwa kama msomaji tu, kupitia forum hii nimejifunza mambo mengi, nimecheka na kufurahi, pamoja na kuelimika kwenye baadhi ya mambo ambayo sikuwa nayaelewa vizuri hapo mwanzo.
Lengo kuu la kuleta huu uzi kwenu ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.