Mbona unajidharau?
Halafu nimeangalia comment zako na kila m2 atakubaliana na mimi ,Ashakum c matusi! Wewe una uwezo mdogo wa kupambanua mabo, then you are acting cheap! Ila unaweza ukajicontrol ili usiaibike. Usipende kucomment ktk kila ki2 au kuongea sana.
Kua ktk kufikiri!
STOP USELESS...
Afu kuna watu hamfikiri kabisa. We unadhan KAGAME akisema atamhit Kikwete anamaanisha atamfuata ikulu? Kagame akilianzisha anapiga wananch wa tz. Hivyo ndvyo vta ilivyo anashambulia maeneo ya tz ambako ww na bb yako na familia yako mnakaa. Au haujui hata vita inatokeaje, au unadhan aksema atamht...
Kwa hyo we ulitaka aalikwe Slaa? Lipumba ni moja ya charter na heshma za tz, xo hakualikwa pale kama mtu aliyewah kugombea urais. Lipumba ni one of the outstanding economists xo co ajabu akialilwa na huyo Slaa akaachwa coz haikuwa dhifa ya kisiasa thats y hata wafanyabiashara walikuwepo. It was...
Swala hili halina shda. Logic
ni hii
Kama tunataka tuwe na uwiano wa kijinsia
bungeni, hiyo ni njia safi.
Tunataka kupunguza idadi yd wabunge,
tunaondoa viti maalum.
Wanawake watatetewa na nani?
(mwanamme hawez kumtetea mwanamke
kama anavyoweza kujitetea yeye)
tutatumia utaratbu huo...
Wengi wanaeza wasikubaliane na mm kwa sasa. Ila mambo yakishaenda kombo watankumbuka. Badala ya kupoteza muda kwenye kutunga katiba tungeanza process za kuvunja muungano coz hata tukwepe vp ndko tuelekeako. Tofaut ni hapo baadae unaeza ucvunjke kwa aman.
Hebu fikiria
Kama tukikubaliana...
Sijapata kuisoma, ila kama haijasema, ajabu! Labda kene sheria itaainishwa, ila hapana, watu watabishana sana bila hitimisho na huku katba ndo ishapita! Tena na hyo serikal ya tanganyika itaundwa lin akat katba inakamilika 2014?
Kuhusu wabunge, tuache kupondana kisiasa.
Tufikirie nje ya box! Everything has a
begining! Nyie mnataka kuiga 2, sio kutoa
vyenv viigwe? Kama utaratbu huu haupo
kwngne kote bas, mi nawapa hongera
kwa uvumbuz. Swala hili halina shda. Logic
ni hii
Tunataka tuwe na uwiano wa kijinsia...
USIPITE BILA KUSOMA!
Hautojuta, (ni mtzamo wangu, ila
nimeuchambua kwa kias chake)
Sikia ww, hakuna mwananch wa kawaida
wa
tanganyka anayewang'ang'ania znz, kwa
7bu hakuna cha ajab znz,
wanaong'ang'ania
ni viongoz, wote wa znz na bara ndo maana
wao hawabshan kama cc.
Mi sion faida ya...
Tufikirie nje ya box! Everything has a begining! Nyie mnataka kuiga 2, sio kutoa vyenv viigwe? Kama utaratbu huu haupo kwngne kote bas, mi nawapa hongera kwa uvumbuz. Swala hili halina shda. Logic ni hii
Tunataka tuwe na uwiano wa kijinsia bungeni, hiyo ni njia safi.
Tunataka kupunguza idadi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.