Recent content by Greater85

  1. G

    Fahamu kuhusu kuanzisha biashara ya Mobile Money (M-Pesa, Tigopesa)

    Naombeni msaada wakuu,nahitaji kuanzisha biashara ya mpesa na tigo pesa.Mwenye uzoefu na biashara hii naombeni anijuze yafuatayo 1.Jinsi ya kupata line hizo 2.Je ni mtaji at least wa shs ngapi nikianza nao nitaweza kuendesha biashara kiufasaha bila kusuasua 3.Vitu gani niwe navyo vinavohitajika...
  2. G

    Kuitwa usaili SIDO

    Naomba mnisaidie kutuma hiyo page jamani nimejaribu haifunguki
Back
Top Bottom